baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 1,135
- 1,182
Ndio Nani huyo? Au ndo Elon Musk wa bongo land 😂
Shhhhhhhhhhhhhhhh, usiwastue !!!😂
Nadhani vita ya Rostam na Polepole itakayoathirika ni CCM
Wote wamekuwa Wajumbe wa Kamati kuu ya chama hivyo wanajua mambo mengi kwa sababu wamekuwepo pia kwenye sekretarieti
Majibizano yakikata kona na kwenda personal basi CCM itaumizwa pakubwa 🐼
Kila kitu kimeandaliwa wanaenda kusoma script tu ila ingekuwa zamani ange win ila nguvu ya mitandao ya kijamii ameshachafuka kitambo wengi walikuwa awamjui wameshamjua dili zakeLa msingi nani ataongoza hayo mahojiano? Mnadhani akihojiwa na mwandishi kada wa mbogamboga kutakuwa na jambo la maana? Huuo anatakiwa kuwa pata kama Odemba na kuwekwa kona asifutukute
MUISLAMU KUTOKA KIFUA MBELE KUPIGANIA UZALENDO NI NDOTO ZA MCHANA ....WATU AMJIULIZI KWANINI NYERERE ALIPEWA UONGOZI KWENYE CHAMA AMBACHO WAISLAMU WALIOKUWA WENGI KUONGOZA HARAKATI ZA KUPIGANIA UHURU KIPINDI CHA WAKOLONI ...KWANI HAO WAISLAMU WALIKUWA AWAPENDI URAIS AU UONGOZI HADI WAMPISHE MKRISTO ....WAISLAMU WALIMFANYA NYERERE NI CHAMBO KUMBE NYERERE ALIKUWA SMART KUWAZIDI WALIPO KUJA KUAMAKI WANASHANGAA KWELI NYERERE ANAELEKEA KUWA KIONGOZI WA KWANZA WA UHURU WAKAANZA BAADHI YA MASHEKH WAKAANZA ***** ***** KUWA NYERERE ATANYANYASA WAISLAMU. Tena hao mashekh hatukuwaona wala kuwasikia kwenye harakati za kufa na kupona bali tunawasikia miezi michache kabla ya mkoloni kumwachia kiti nyerere cha kuongoza Tanganyika.....swali kwanini wamwone nyerere kuwa ni mbaya kidini baada tu yakugundua kuwa ana kwenda kufanikisha uhuru ? Siku zote hao mashekh walikuwa wapi...
CCM ikiungua na Mimi nitaungulia humo ujue 🐼Shhhhhhhhhhhhhhhh, usiwastue !!!
Chanzo cha hii taarifa ni wapi
Raia wanamngojea Polepole keshoNdugu zangu Watanzania,
Kaeni mkao wa kula. Hii leo Nchi itasimama kwa muda pale ambapo Mheshimiwa Rostam Azizi mfanyabiashara maarufu na mkubwa Barani Afrika atakapokuwa akizungumza na Taifa kupitia mahojiano maalumu yatakayo fanyika kupitia UTV.
Ambapo mambo makubwa na Mazito yatazungumzwa. Usikose wala kupanga kukosa. Kaa tayari na fanya mambo yako mapema ili usichelewe hata kwa Dakika moja kumsikiliza . Hakuna jiwe litabakia pasipo kugeuzwa.View attachment 3462259
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Taka taka. Majizi ya rasilimali yalipaaswa kuwa jela.Ndugu zangu Watanzania,
Kaeni mkao wa kula. Hii leo Nchi itasimama kwa muda pale ambapo Mheshimiwa Rostam Azizi mfanyabiashara maarufu na mkubwa Barani Afrika atakapokuwa akizungumza na Taifa kupitia mahojiano maalumu yatakayo fanyika kupitia UTV.
Ambapo mambo makubwa na Mazito yatazungumzwa. Usikose wala kupanga kukosa. Kaa tayari na fanya mambo yako mapema ili usichelewe hata kwa Dakika moja kumsikiliza . Hakuna jiwe litabakia pasipo kugeuzwa.View attachment 3462259
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Waulize watu hapa JF ninani aliye onya kuhusu Rostam azizi kuliko mimi ...miaka ya 1994- kuja hadi 98 Rostam azizi alimtishia Reginald mengi maisha yake sana maana walikusudia tanzania kusiwe na tajiri mbantu kwa namna yeyete na kunzuia mengi kuwekeza kwenye gesi ili wafanikiwe kuunda pattern ya kifisadi iliyopo sasa kwenye gesi na kufanya ukilitimba (monopoly) kwenye biashara ya gesiUmeanza kumjua Rostam lini ?