Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

View attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Hili jambazi nikilikamata popote naliuwa kwa kukata kiungo kimoja kimoja
 
Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi a.k.a kujizima data

Kuahirisha kufikiri kwa nafsi ni tabia ya mtu ambaye huenda unafahamu kwamba uwezo wake wa kufikiri hauna shaka na ana elimu ambayo inakubalika kimataifa lakini hufanya maamuzi ambayo hayalingani na elimu yake na hufanya hivyo kwa makusudi ili kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi
Kuahirisha kufikiri kwa nafsi 😳 !
a.k.a Kujizima data 😳🙄 !
🤣🤣🤣🤣😅😅😅
Watu wa namna hiyo wapo sana tu zama hizi 🙌🤷🏿‍♂️ !
 
Ila Polepole ni mtu mzito sana, ilikuwaje wakawatuma watu wa Wazito kama Kubwa la maadui limeamua kupigana
1. Je atakuwa akijitetea kutokana na tuhuma za Mzalendo halisi, Mh; Balozi Dr Hamphrey Polepole?
2. Je atakuwa na ushahidi wa kujinasua na kujisafisha kutokana na tuhuma za Mh; Balozi?
3. Je kwa mahojiano yake leo ataweza kufifisha nguvu na ushawishi kwenye mioyo ya Tanzania wengi ambao tunaona Polepole anasema kweli na ana nia njema thabiti juu ya kesho ya watoto, wajuu, vitukuu na vilembwe vyetu watanzania?
4. Je Rostam ataibuka jambo gani kipya juu ya mzalendo wetu?
 
View attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Mahojiano yamehairishwa mpaka pale itapotangazwa tena....
 
😂

Nadhani vita ya Rostam na Polepole itakayoathirika ni CCM

Wote wamekuwa Wajumbe wa Kamati kuu ya chama hivyo wanajua mambo mengi kwa sababu wamekuwepo pia kwenye sekretarieti

Majibizano yakikata kona na kwenda personal basi CCM itaumizwa pakubwa 🐼

Natamani hiyo Press wangekuwepo watangazaji wa Citizen tv akina Abdul kadir, Yvonne, Barron, Sammy, Trevel, Jamila, Mashirima na Muongizaji awe Jeff dadeki 😂😂✔️
Rostam hawezi kuwa na vita na mtu bwege kama polepole, itakuwa kujidharirisha. Ye anataka kuwafuta matongotongo kidogo tu haya malofa yanadanganyika kibwegebwege. Yasipohitaji basi atayaacha yaendelee kudanganyika na upumbavu na umaskini wao.
 
Back
Top Bottom