Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

Atazungumzia masuala ya gesi. Atazungumza ni kwa nini wananchi wanauziwa gesi kwa Tshs.60,000.
 
View attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Anakuja kujisafisha na kuwasafisha wanaomlamba miguu. Fisadi huyu hana jipya
 
Hoja za Polepole hazijibiki. Akijaribu tu kuna makombora yatazidi kurushwa na chama kitazidi kuchafuka. Polepole anaishi na msemo wa Membe wa "Niguse ninuke"
pole pole kaongea uogo mwingi lazima Mwekezaji huyu makini aje kupangau hoja zote za kitoto. Umaskini wa pole pole asitufanye wote tuishi kimaskini. Nchi inahitaji matajiri na ndo mana Jpm baada ya kuona nchi haiwezi kuongozwa na maching akaamua kwenda kumpigia magoti huko marekani ili aje kuinua uchumi baada yawawekezaji kusepa. wawekazaji huwa hawatishi. Ni sisi makapuku ndo tunatishwa. Halafu ujue matajiri ndo injini ya uchumi.
 
Nionyeshe picha jpm akipiga magoti marekani, sijui na sikumbuki kama alishawahi kwenda wakati wa utawala wake
 
Umaskini wa pole pole asitufanye wote tuishi kimaskini.
Umaskini wa Polepole unahusiana vipi na nchi nzima kuwa maskini. Unataka kusema kama Polepole angekuwa tajiri basi na Tanzania nzima ingekuwa tajiri?

Rostam ni tajiri, alipokuwa Mbunge wa Igunga aliifanya Igunga iwe tajiri. Ukienda leo Igunga utaona uhusiano wa Rostam kuwa tajiri na maisha ya watu wa Igunga?

Mohammed Dewji, na watu wa aina yao waliowahi kuwa wabunge, utajiri wao umewasidia nini watu kutoka kwenye majimbo yao kuondokana na umaskini?

Tumuabudu Mungu pekee, lakini hawa binadamu wenzetu tuwaheshimu tu.
 
Nionyeshe picha jpm akipiga magoti marekani, sijui na sikumbuki kama alishawahi kwenda wakati wa utawala wake
Alimpigia magoti Rostam ili arudi baada ya kuona wawekezaji wanasepa karibu wote. Nchiilitaka kukolapse kiuchumi kama kipindi kile cha nyeree akaona ang'atuke ila ki ukweli uchumi ulimfosi kufanya hivyo haikuwa matakwa yake
 
Huyu jamaa janja janja sana na kwa akili ya mama yetu ilivyo lazima ponjoro atatupiga sanaa!!.
 
Alimpigia magoti Rostam ili arudi baada ya kuona wawekezaji wanasepa karibu wote. Nchiilitaka kukolapse kiuchumi kama kipindi kile cha nyeree akaona ang'atuke ila ki ukweli uchumi ulimfosi kufanya hivyo haikuwa matakwa yake
Sijaelewa marekani au wafanyabiashara?
 
Jamaa ana hofu maana alikuwa anafanya ushenzi bila ya wananchi kumtambua sasa wananchi wameanza kumtambua yeye ni nani kwenye kulinajisi taifa
Na hofu yake ilidhihirika siku Ile aliposema Polepole sio mwanaCCM. Nadhani alijua kifuatacho hivyo alikuwa anatufanyia spinning ya kutaka tumpuuze Polepole pindi atakapoanza kushusha makombora!.
 
Back
Top Bottom