misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
- Thread starter
- #181
Overrated hana huo U-CIA, kaona watanganyika wamelala basi anajichukulia rasilimali tuNa hicho Tu Polepole alikuwa anataka....zile siri za kiapo zitamwagwa nje mchana kweupe kwa kisingizio cha kumjibu Rostam..
Rostam shtuka umetegwa, eti CIA agent, agent gani huwezi kuthibiti hasira na mihemko?