Huyu bwege jeuri sana..kipindi kile aliwapasua mahakama....lakini ndio ukweli wenyewe...View attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Huyu bwege jeuri sana..kipindi kile aliwapasua mahakama....lakini ndio ukweli wenyewe...
Ila nafikiri mwisho wake unakaribia..hataamini.....
Hakuna anaepinga utajiri wake!..man hes is >8 billion dollars (USD) worth, huyo hana mwisho labda useme wapagazi wake chawa weusi wastaafu hao ndo wana mwisho, huyo yakiharibika saana atakuwa wa kwanza kujua na kusepa, kipindi cha Magu nilisikia hata alishamia dubia ..
Hakuna anaepinga utajiri wake!..
Muda utaongea...tusubiri mahojiano yake!
Alete jeuri yake mbele ya vyombo na kudharau watanzania ...siku zake zinahesabika na dhurma wanazozifanya
Inaonekana wote wako mfukoni mwake.Hivi tz haina sniper
Muda utafika labda bado jogoo hajawika who knows, ya Mungu mengi hii vita ndio kwanza ushahidi umeanza kuchipuaWazalendo kwenye Vyombo vya Usalama vya nchi wanamwangalia tu. Ama hakika Tanzania ni shamba la bibi.
Na ni huyo ndiye aliyesambaza gas (Taifa gas) nchi nzima bureee. Ila sharti lilikuwa lazima uende na kitambulisho chako cha NIDA.Polepole aliposema yeye na akili zake timamu hawezi kununua taifa gas, pale alimaliza kazi, tayari ameua brand yake, hivi Mtanzania gani sasa atatoka afike dukani aone taifa as anunue....
Jamaa anawakaanga sana aisee..
Hapa anakuja tu kuharibu biashara zake
Kuna uwezekano watu wakaanza ku boycot
Jamaa ana hofu maana alikuwa anafanya ushenzi bila ya wananchi kumtambua sasa wananchi wameanza kumtambua yeye ni nani kwenye kulinajisi taifa
Anapoteza muda tu,, mpaka hapa tulipo alichofanya Polepole ni kutupa tu vielelezo vipya vya ishu zake haram,,, ila siku nyingi tu anafahamika ni mpiga dili, na watu kama yeye wapo dunia nzima na serikali zote..
Kwahiyo hakuna mtu yeyote atayembadilisha fikra,, ila ile misukule yake ndo atazidi kuilisha bwimbi..
Ndio utulie kama unanyolewa....kama amekutuma kumtetea mtetee kwa wengine mm sinaga simile na waovuACHA KUTESEKA NA ROSTAM MKUU,hakuna utachopata zaidi ya maumivu ya moyo
Nani alikudanganya kuwa unaweza pata mkopo benki sababu Kuna matajiri wameweka deposit zao ?Wenye nacho waachwe wapate zaidi watengeneze Ajira. Hela ya tajiri ikikaa benki, watu wa kawaida wanapata mikopo ya kujiendeleeza kibiashara, kujenga, n.k. Tajiri akiamua kutumia hela yake pia watu wa kawaida wananufaika na Ajira zinaongezeka. Ila matajiri wakionekana kama wahalifu fulani, hela wakificha nje ya nchi badala ya kuizungusha nyumbani, wanakuwa hawaleti faida kiuchumi.
Hatufanani mitazamo..vielelezo gani alivyotoa Polepole zaidi ya kupiga domo? au kuna fact yoyote aliowasilisha ?