Ila Utv wanaongelea ushirikishwaji wa walemavu kwenye uchaguzi. Ni saa ngapi?Naam! Ngoja tusikie
Ilishahairishwa muda mrefu tu. Upo outdatedNaam! Ngoja tusikie
Duh. Okey.Kuna habari niliona humu kwamba kama ali postponed ila sikuzingatia inawezekana alipostponed
Wavumilie tu kimyakimya, kujibizana na Polepole ni kutafuta mengine...Kuna habari niliona humu kwamba kama ali postponed ila sikuzingatia inawezekana alipostponed
😄✔️Ilishahairishwa muda mrefu tu. Upo outdated
Kakimbiaupdates
nchi ishakua ngumu hii 😁Kakimbia
Amepigwa pin?Kuna habari niliona humu kwamba kama ali postponed ila sikuzingatia inawezekana alipostponed
Yale Mawe ya Polepole huwezi kukurupuka kujibunchi ishakua ngumu hii 😁
Hata hivyo anahofia usalama wa maisha yake labda wakarikodi kipindi kwake ndio warushe RECORDEDWanamtandao wameona ataharibu au kuzua hasira?
vikao kabla ya kwenda live ndo vimesababisha asitokeeSidhani kama anakuja. Utv sasa wanaongelea mambo ya uzazi na urithi.