Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

Mahojiano Maalum ya Mfanyabiashara na Mwanasiasa kutoka Tanzania, Rostam Aziz, yanayotarajiwa kurushwa na kituo cha televisheni cha AZAM leo usiku saa tatu, yameota mbawa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwandani wa karibu wa Rostam, mahojiano hayo yalikuwa yamelenga kufafanua tuhuma mbalimbali zinazomkabili mfanyabiashara huyo wa kimataifa, ikiwemo madai ya ushiriki wake katika mikataba tata ya uwekezaji nchini na uhusiano wake na kile kinachoitwa “Mtandao ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).”

Hivi karibuni, Rostam amekuwa gumzo katika mijadala ya kisiasa nchini baada ya Humphrey Polepole, kutoa tuhuma nzito akidai mfanyabiashara huyo amehusishwa na mikataba yenye utata. Mikataba hiyo inatajwa kuhusiana na migodi ya makaa ya mawe mkoani Ruvuma, migodi ya almasi Mwadui mkoani Shinyanga,

Jambo TV imemtafuta Mkurugenzi wa Azam Media, Yahya Mohamed, hata hivyo jaribio hilo halikuzaa matunda baada ya simu zake kuita muda wote bila kupokelewa, na hata alipohusishwa na ujumbe
IMG-20250903-WA0009.jpg
 
Mahojiano Maalum ya Mfanyabiashara na Mwanasiasa kutoka Tanzania, Rostam Aziz, yanayotarajiwa kurushwa na kituo cha televisheni cha AZAM leo usiku saa tatu, yameota mbawa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwandani wa karibu wa Rostam, mahojiano hayo yalikuwa yamelenga kufafanua tuhuma mbalimbali zinazomkabili mfanyabiashara huyo wa kimataifa, ikiwemo madai ya ushiriki wake katika mikataba tata ya uwekezaji nchini na uhusiano wake na kile kinachoitwa “Mtandao ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).”

Hivi karibuni, Rostam amekuwa gumzo katika mijadala ya kisiasa nchini baada ya Humphrey Polepole, kutoa tuhuma nzito akidai mfanyabiashara huyo amehusishwa na mikataba yenye utata. Mikataba hiyo inatajwa kuhusiana na migodi ya makaa ya mawe mkoani Ruvuma, migodi ya almasi Mwadui mkoani Shinyanga,

Jambo TV imemtafuta Mkurugenzi wa Azam Media, Yahya Mohamed, hata hivyo jaribio hilo halikuzaa matunda baada ya simu zake kuita muda wote bila kupokelewa, na hata alipohusishwa na ujumbeView attachment 3463336
Mshana hulali??
Wewe ni mzee wa "Night mare "
 
Kwa ile mitusi iliyokuwa inapelekewa Azamtv, sio mchezo, kweli Watanzania mioyo yao imepondeka kwa maneno ya Polepole, akaunti ya insta ya Polepole inapanda followers kwa kasi, anagonga million siku si nying, inaonesha watu wanapeana taarifa, walimpeleka Cuba kumpoteza, kumbe wanajipoteza. The mistake of a century.
 
Law of the Universe 😳 !
What goes around comes around 😳🤷🏿‍♂️
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Mtu mwerevu akijiharishia kwenye nguo mbele za watu ni bora akatulia sehem Moja kuliko kuhangaika hangaika ni kuzidisha harufu ya uharo..
 
Nani alikudanganya kuwa unaweza pata mkopo benki sababu Kuna matajiri wameweka deposit zao ?

Mkopo mkopaji atapata kama anakidhi vigezo vya kukopesheka sio sababu eti benki kumejaa minoti ya vibopa ,kibopa akiweka Hela yake benki ni zake hazimhusu mtu yeyote ,benki husika tU ndio inanufaika na interest ya hicho kibunda.

Ni kweli matajiri wakiwekeza nchini faida ni nyingi ikiwemo kutoa ajira ,Kodi na huduma watoazo , hivyo wawekezaji wakubwa bado wanahitajika kupunguza ombwe Hilo

lakini matajiri pekee hawawezi kimaliza deficit ya ukosefu wa ajira ,jitihada za pamoja na serikali pamoja na mazingira Bora ya watu kujiajiri iwe kwenye kilimo,uvuvi ,madini,ujasiriamali na kumiliki viwanda ,hustle is real .

Mkuu labda uende benki ukaongee na meneja atakueleza mzunguko wao wa hela uko vipi. Hela zinazowekwa kwenye fixed akaunti, benki wanazikopesha kwa riba. Kwa hiyo tajiri akiweka mfano bilioni 10 benki, hazikai tu. Benki watakopesha, au kuwekeza ili kupata faida. Sasa wanaokepeshwa ni pamoja na watu wa kawaida ambao wana vigezo vya kukopesheka. Kwa hiyo hapo hela ya tajiri imenufaisha benki na wateja wake.
 
Mkuu nakukubalia pesa ya tajiri aliyoweka fixed account hunufaisha wakopaji waliokidhi vigezo.

Lakini pesa za matajiri wetu haziaminiki mfano mzuri ni wakati wa awamu ya 5

Matajiri walipoona mambo Yao hayaendi wanavyotaka wengi wakahamisha pesa kutoka mabenki ya Tanzania na kuhamishia pesa zao nje ya nchi, lakini watu wa kawaida waliokuwa wanakidhi vigezo walipata mikopo.

benki karibia zote hutegemea BOT kuendesha biashara ya benki ,hai matajiri unaowasema wapo mguu mmoja ndani mguu mwingine nje.
 
Matajiri wanakaa mguu mmoja ndani mwengine nje kwa sababu ya siasa zetu. Yaani kwa siasa zetu anaweza kuja kiongozi muda wowote akawafilisi mali zote. sasa na wao matajiri lazima wajihami, wafiche hela nje ya nchi. Nje ya nchi hela za matajiri zinanufaisha wengine maana wanalipwa au wanakatwa kodi huko huko. Tanzania hainufaiki.
 
Back
Top Bottom