100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ndio hivyo, ukipanda maharagwe huwezi kuvuna mchele..Kweli kabisa mkuu
Inabidi ukubali tu dhambi zako ulizofanya nyuma kwa kujiona mjanja sasa zinakutafuna..
Mshahara wa dhambi ni mauti...
Ndio hivyo, ukipanda maharagwe huwezi kuvuna mchele..Kweli kabisa mkuu
mzee wa taifa gas kuingia mitini leo , kapoteza uzito wa mawe ya kesho --- ingekua hatari sana keshoYale Mawe ya Polepole huwezi kukurupuka kujibu
Mkuu mbona ulishaambiwa imehairishwa muda mrefu tu, kipi hujaelewa?Sidhani kama anakuja. Utv sasa wanaongelea mambo ya uzazi na urithi.
Duh. Kwahiyo Kapotea.vikao kabla ya kwenda live ndo vimesababisha asitokee
Uliona mbali sanaKuna uwezekano pia hiki kipindi kisirushwe hewani.
Acha tu boss. Niliamua nithibitishe.Mkuu mbona ulishaambiwa imehairishwa muda mrefu tu, kipi hujaelewa?
Nadhani wameogopa comeback ya Polepole kesho
Hawezi, nilisema mapemaHoja za Polepole hazijibiki. Akijaribu tu kuna makombora yatazidi kurushwa na chama kitazidi kuchafuka. Polepole anaishi na msemo wa Membe wa "Niguse ninuke"
Ni kweli mkuu. Tension ni kubwa sana kuliko tunavyodhaniUliona mbali sana
Uliona mbali sana; lazima kingepigwa pinKuna uwezekano pia hiki kipindi kisirushwe hewani.
Wameona maji yamezidi unga..bora kunywa uji tu.Uliona mbali sana; lazima kingepigwa pin
😆😆😆😆😆 Noma mno! mbaya zaidi hakuna atakayewaamini tena hata wafanyeje!Kwa anayoongea Polepole kwa wahusika yanayo wahusu ni moto unawaka, kwasisi nje unaweza ukaona ni kawaida, ila uko ndani ni moto wa hatari, inawaweka kwenye hali mbaya maana inatengengeneza kutoaminiana, we fikiria kwasasa unadhani kikwete au Rostam anaweza kuamini mtu yoyote wa usalama au jeshini maana hujui kama uaminifu (loyalty) yake imeama baada ya kusikia anayoongea Polepole.
kuna kila dalili wahusika JK, RA na Sa100 wakaajili ulinzi binafsi kutoka nje (private security), hili ni very likely kutokea. Vyombo vya ndani vishachonganishwa, huu mwaka 2025 hawatakuja kuusahau.
Usikute jikoni kwako una mtungi wa taifa gas ww sikiliza tuNiache kulala nisikilize porojo za Mtu
Iranian settler.Mwekezaji Rostam Aziz anatarajia kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV.
Ikumbukwe kwa siku za hivi karibuni Mwanasiasa Humphrey Polepole amekuwa akimshtumu kuhusika kwenye mambo mbalimbali ikiwemo ufusadi.
View attachment 3462173