Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Nafikiri ndio wanamtandao wanatangaza rasmi kuvunja mtandao wao!Ama mawazo yangu tenge Jo?😂
Nadhani vita ya Rostam na Polepole itakayoathirika ni CCM
Wote wamekuwa Wajumbe wa Kamati kuu ya chama hivyo wanajua mambo mengi kwa sababu wamekuwepo pia kwenye sekretarieti
Majibizano yakikata kona na kwenda personal basi CCM itaumizwa pakubwa 🐼