Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

Kuahirisha kufikiri kwa nafsi 😳 !
a.k.a Kujizima data 😳🙄 !
🤣🤣🤣🤣😅😅😅
Watu wa namna hiyo wapo sana tu zama hizi 🙌🤷🏿‍♂️ !
Ninaandika kitabu cha ujasiriamali ndipo nilipogundua kwamba kuna vitu navijua vizuri lakini kuna watu huwa wanapotosha kwenye jamii tena hata mishipa huwatoka, (hushupaza shingo) hapo ndiyo patamu nikaanza kutafuta jinsi ya kumuelezea binadamu ambaye unamjua kwamba ana akili na ana elimu ya kimataifa lakini huamua kuidanganya jamii hata kwa jambo unalo lijua vizuri hata humu jf wamo
 
Usikose mahojiano maalum na mfanyabiashara #RostamAziz ambaye pia ni mwanasiasa mwandamizi, yatakayokuijia leo Septemba pili saa 3:00 usiku, kupitia UTV chaneli namba 108 kwenye kisimbuzi cha AzamTV.
 

Attachments

  • 1756804354742.jpg
    1756804354742.jpg
    283.9 KB · Views: 19
Ila na wewe ROSTAM hata kama upo karibu na Inner cycle ila uwe unaona AIBU, kila kashfa kubwa UMOOO!..kutaja tu chache:
-Richmond
-Dowans
-Kagoda
-Mdogo wako na nyara za serikali
-Channel 10
-DP World
......haipendezi kiongozi
Haahaa angitisha press kwa wanahabari, pia atwangwe maswali magumu...
 
Haaahaa ataongelea na mambo ya taifa gesi? Vip makaa ya mawe?
Leo tarehe 2 .9.2025 saa tatu usiku kupitia UTV ya azam mfanyabiashara na mbunge wa zamani Rostan Aziz atazungumza na taifa

Hapa anakuja kushusha nondo za kukaanga Polepole alie udanganya umma .

USSR
 
View attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Lazima nimsikilize mwamba Mnyamwezi wa igunga!!

KAZI na utu,tunasongambele!
 
Tupo kwenye uchumi wa kibepari ( soko huria) yeye na ma Tycoon wenzake mfumo wa soko huria unawabeba ,tunachohitaji walipe Kodi tu, kuwasamehe Kodi hawa tycoons na TRA kukomalia Kodi wachuuzi sio fair ,inasababisha mwenye nacho anapata zaidi na asiyekuwa nacho hata hicho kidogo alichonacho kunyang'anywa , mpasuko mkubwa huo na unaleta chuki ya jamii maskini dhidi ya serikali.

Ubepari tumeuiga kutoka nchi za magharibi ,TU copy pia jinsi mihimili ya utawala inavyoendesha nchi.

USA top tajiris wapo kule hata Elon Mask na utajiri wake no 1 wa Dunia anawekewa mipaka Kuna mstari anacholewa hawezi kuuvuka,je huku Tz tutaweza kufika huko ?
 
😂

Nadhani vita ya Rostam na Polepole itakayoathirika ni CCM

Wote wamekuwa Wajumbe wa Kamati kuu ya chama hivyo wanajua mambo mengi kwa sababu wamekuwepo pia kwenye sekretarieti

Majibizano yakikata kona na kwenda personal basi CCM itaumizwa pakubwa 🐼

Natamani hiyo Press wangekuwepo watangazaji wa Citizen tv akina Abdul kadir, Yvonne, Barron, Sammy, Trevel, Jamila, Mashirima na Muongizaji awe Jeff dadeki 😂😂✔️
Kumbe umetambua kuwa Tanzania hakuna waandishi bali toilet za CCM kama kina Balile ?

Nakuongezea kwenye list hapo watu kama Eric Latiff na Linus Kaikai walimuuliza Ruto lini ataacha uongo.

Hivi kina Balile wanaweza kufanya mahojiano tangible na bi Mwenda kumuuliza maswali ?


View: https://youtu.be/RAVv_wC7HpE?si=tk_myAYfmfvsvXjJ
 
Kujibu nini? Kuna uongo aliousema Polepole! Haibi mali zetu? hana migodi ya mawe? etc etc
 
Back
Top Bottom