TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

Kipaji maridhawa kimeanguka; sisi sote tu wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea siku moja.
 
Kweli mkuu kuna nyimbo ukisiliza kwa mimi mwenye machozi ya karibu unajikuta unatoa machozi yaani kama amekuimbia hisia zinakuwa kali kuwaza.

Hata siku moja haiwezi tokea nitoe chozi kisa vitu vya kipumbavu, na Mwenyezi Mungu ameharamisha huu upuuzi

Allah atujaalie mwisho mwema

Bhujiku ng'waka mwaniki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…