Mwanamuziki J cole kuachia album yake ya The fall off siku ya kesho

Mwanamuziki J cole kuachia album yake ya The fall off siku ya kesho

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
46,398
Reaction score
102,530
J. Cole - The Fall-Off Album Tracklist
Expected February 6, 2026

DISC 29
1. 29 Intro
2. Two Six
3. SAFETY
4. Run a Train
5. Poor Thing
6. Legacy
7. Bunce Road Blues
8. WHO TF IZ U
9. Drum n Bass
10. The Let Out
11. Bombs in the Ville / Hit the Gas
Bonus: 12. Lonely at the Top

DISC 39
1. 39 Intro
2. The Fall-Off is Inevitable
3. The Villest
4. Old Dog (Drake is shaking r.n)
5. Life Sentence
6. Only You
7. Man Up Above
8. I Love Her Again
9. What If
10. Quik Stop
11. and the whole world is Ville
Bonus: 12. Ocean Way

Bado hajaweka wazi wasanii walio shirikishwa, so I guess its a suprise.
FB_IMG_17703076531809187.jpg
 
j cole ameelezea sababu ya kwanini album hiyo ina part 2, yani disc 29 and 39.

Disc 29
FB_IMG_17703085703573488.jpg
 
Aachie tu,sisi wasanii wetu wapo wanatunga nyimbo za kusifu na kuabudu CCM kampeni za 2030
 
Album ina nyimbo 20+ , huku Bongo album unakuta ina nyimbo 8 ambapo unakuta ukisikiliza album hata dakika 15 haimaliza imeshaisha

Walau miaka ya zamani kidogo, enzi za album za Ugali ama JOSEPH za Juma Nature na Profesa Jay unakuta nyimbo nyingi na zinachukua hadi dakika 7 nyimbo moja
 
J cole kapiga kazi konki humu, kuhusu album za bongo machozi na damu ya jay ni 🔥 🔥.
 
J cole kapiga kazi konki humu, kuhusu album za bongo machozi na damu ya jay ni 🔥 🔥.
Akina Profesa Jay, walifanya kazi nzuri sana enzi zao

Unasikiliza album yenye nyimbo 15 husikii hata tusi moja

Njoo sasa kwa wasanii wa sasa, hutamani hata kusikiliza nyimbo zao ukiwa na watu wa heshima, maana ni matusi kwa kwenda mbele 🙌

Nahisi weekend nitakuwa free, nitajitahidi nisikilize hiyo album ya Bwana Mkubwa J Cole
 
utasikia aririii😅😅,

Naam mkubwa kaz ya kwenda, ukiipa sikio leta majibu.
 
Back
Top Bottom