Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Sikiliza album ya ๐ฅNamkubali sana huyu rapper....kuna ngoma yake yuko na Nas inaitwa "Let Nas Down "(Remix) hii ngoma ni noma.
J cole kapiga kazi konki humu, kuhusu album za bongo machozi na damu ya jay ni ๐ฅ ๐ฅ.Album ina nyimbo 20+ , huku Bongo album unakuta ina nyimbo 8 ambapo unakuta ukisikiliza album hata dakika 15 haimaliza imeshaisha
Walau miaka ya zamani kidogo, enzi za album za Ugali ama JOSEPH za Juma Nature na Profesa Jay unakuta nyimbo nyingi na zinachukua hadi dakika 7 nyimbo moja
Akina Profesa Jay, walifanya kazi nzuri sana enzi zaoJ cole kapiga kazi konki humu, kuhusu album za bongo machozi na damu ya jay ni ๐ฅ ๐ฅ.
utasikia aririii๐ ๐ ,Akina Profesa Jay, walifanya kazi nzuri sana enzi zao
Unasikiliza album yenye nyimbo 15 husikii hata tusi moja
Njoo sasa kwa wasanii wa sasa, hutamani hata kusikiliza nyimbo zao ukiwa na watu wa heshima, maana ni matusi kwa kwenda mbele ๐
Nahisi weekend nitakuwa free, nitajitahidi nisikilize hiyo album ya Bwana Mkubwa J Cole
Hakuna madini kwenye nyimbo za sasa, mara mia usikilize tamaa mbaya ya 20% unaambulia madiniutasikia aririii๐ ๐ ,
Naam mkubwa kaz ya kwenda, ukiipa sikio leta majibu.