Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Feb 6, 2026 Thread starter #21 Grahams said: Hakuna madini kwenye nyimbo za sasa, mara mia usikilize tamaa mbaya ya 20% unaambulia madini Next week nitakupa mrejesho Click to expand... Pamoja mkuu.
Grahams said: Hakuna madini kwenye nyimbo za sasa, mara mia usikilize tamaa mbaya ya 20% unaambulia madini Next week nitakupa mrejesho Click to expand... Pamoja mkuu.
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,763 Reaction score 22,998 Feb 6, 2026 #22 Intelligent businessman said: MastaKiraka kula chuma hicho. Click to expand... Usiku wa leo nitaisikiliza vizuri, nimeskikiliza ngoma moja tu (what if) juu juu nikavutiwa na ubunifu uliochapwa humo, kulingana na review mbali mbali mtandaoni hii album itatingisha sana mwaka huu
Intelligent businessman said: MastaKiraka kula chuma hicho. Click to expand... Usiku wa leo nitaisikiliza vizuri, nimeskikiliza ngoma moja tu (what if) juu juu nikavutiwa na ubunifu uliochapwa humo, kulingana na review mbali mbali mtandaoni hii album itatingisha sana mwaka huu
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Feb 6, 2026 Thread starter #23 MastaKiraka said: Usiku wa leo nitaisikiliza vizuri, nimeskikiliza ngoma moja tu (what if) juu juu nikavutiwa na ubunifu uliochapwa humo Click to expand... Pamoja mkuu, naona shots zime tumwa this time.
MastaKiraka said: Usiku wa leo nitaisikiliza vizuri, nimeskikiliza ngoma moja tu (what if) juu juu nikavutiwa na ubunifu uliochapwa humo Click to expand... Pamoja mkuu, naona shots zime tumwa this time.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Feb 6, 2026 Thread starter #24 MastaKiraka said: Usiku wa leo nitaisikiliza vizuri, nimeskikiliza ngoma moja tu (what if) juu juu nikavutiwa na ubunifu uliochapwa humo Click to expand... nime penda alivyo pay homage kwa pac and bigie kwenye hiyo ngoma.
MastaKiraka said: Usiku wa leo nitaisikiliza vizuri, nimeskikiliza ngoma moja tu (what if) juu juu nikavutiwa na ubunifu uliochapwa humo Click to expand... nime penda alivyo pay homage kwa pac and bigie kwenye hiyo ngoma.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Feb 6, 2026 #25 Intelligent businessman said: Kiranga, the classic album is out. Click to expand... Good looking out. Naicheki. Thanks.
Intelligent businessman said: Kiranga, the classic album is out. Click to expand... Good looking out. Naicheki. Thanks.