monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Sasa we mbwiga kama haitakusaidia kitu unapata wapi nguvu ya kutusemea na sisi?nina uhakika ndio maana nikaandika haya.
dhambi ninazo na nitabeba mzigo wangu mwenyewe r.i.p haitanidaidia kitu
Hii miti ina nini mkuu maana nyumbani imejaa 🙄Daaaaah Maunda Umetuacha....
Lakini kule Kijijini kwetu WANASEMA KILICHOMUUA NI HIYO MITI inayoonekana kwa Picha ya nyumbani kwake. Anyway kila mtu ana imani yake tuyaache hayo na dada yetu apumzike kwa Amani!
Nami nilikwa nakjiuliza why lori la mchnga saa sita usiku?Kwanini wanaruhusu hayo malori hayo usiku. Nasikia yanakimbia balaa ili kupiga trip nyingi.
Ww sio mmojawapo myMfyuuuuu
Daah bora wangekufa wanawake 50 wa JF kuliko huyu
Tafuta uzi wa Mikasa ya hiyo Miti upo humu humu JF ujioneee mwenyeweHii miti ina nini mkuu maana nyumbani imejaa 🙄
Haina kurudi hiyo, ukivuta kamba ndo imetoka hiyooooooo.kwa hakika kila nafsi itaonja umauti, pumzika dogo, utakapo rudi rudi tena kama pisi kali……………………………
kwani lazima niwe kama wao ?unajisikiaje kwamba humu kuna zaidi ya watu laki 5 ila wewe tu ndio hujiheshimu
Noma sana!Uzuri kifo hakina macho kingeona vijana msingekufa wazee tubaki.
Nitaujuaje huo uzi si uandike huo mti ukipanda una shida gani?Tafuta uzi wa Mikasa ya hiyo Miti upo humu humu JF ujioneee mwenyewe
sasa nyie kenge mnadhani r.i.p zenu ndio zinamsaidia nini ?Sasa we mbwiga kama haitakusaidia kitu unapata wapi nguvu ya kutusemea na sisi?
Nina rafiki yangu mmoja yeye ni dereva wa haya maroli ya mchanga. Anaanza kazi usiku kukwepa askari wa barabadani, aisee mchana wote anakuwa anapiga tungi tu. Kulala halali hata kidgo so huwa anaingia barabarani na wenge kama lote. Najiuliza hivi huyu atarudi salama kweli bila kusababisha ajari!Juzi tu kuna askari jamaa yetu tumetoka kuzika,gari lake liliogongoana na Lori LA mchanga.
Polisi iangalie uwezekano kudhibiti madereva wa malori ya mchanga-ni matatizo.
Ardhi inajua kula vitu vizuri...ooh jamaniDuh Rest In Peace Maunda ulikua mrembo Sana mwenye saut nzuri
Wiki 3 zilizopita pia jirani zake Asprin kama watano hivi walimalizwa na lori la mchangaJuzi tu kuna askari jamaa yetu tumetoka kuzika,gari lake liliogongoana na Lori LA mchanga.
Polisi iangalie uwezekano kudhibiti madereva wa malori ya mchanga-ni matatizo.
🙄🙄Daah bora wangekufa wanawake 50 wa JF kuliko huyu mrembo
Mmmmh mdomo koma [emoji40][emoji40][emoji40][emoji28]Ndiyo Twin
Twin marehemu hasemwi ujue[emoji85] ngoja watu wa JF watushukie[emoji2][emoji2]