TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Juzi tu kuna askari jamaa yetu tumetoka kuzika,gari lake liliogongoana na Lori LA mchanga.

Polisi iangalie uwezekano kudhibiti madereva wa malori ya mchanga-ni matatizo.
Nina rafiki yangu mmoja yeye ni dereva wa haya maroli ya mchanga. Anaanza kazi usiku kukwepa askari wa barabadani, aisee mchana wote anakuwa anapiga tungi tu. Kulala halali hata kidgo so huwa anaingia barabarani na wenge kama lote. Najiuliza hivi huyu atarudi salama kweli bila kusababisha ajari!
Apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom