Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Aliimbiwa yeye kumbe?Kwa kigamboni, malori ya mchanga usiku yanafunguka hatari huwa wanafosi trip basi ni tabu kweli, kuna moja lilikuwa linaitwa blue fire sijui kama lipo, ni tabu hiyo.
R.i.p NZELA
Mkuu ni nini....stress au?By v Pl mummy mbuni bt CD l b vs c x saa, c by, in a rpg Z xvideo
Kwa majina tu, wengi sisi waislam, ila kwa sheria na taratibu, wengi sisi tunakuwa si waislam.Huyu si muislamu ama hakuwa kwa mfungo, anyway apumzike kwa amani
Mimi ndio nilikiwa nikiitafsiri hivyo, akilini nikawa nishazoea kumuita NZELA, kuhusu kuimbiwa yeye sina uhakika saanaAliimbiwa yeye kumbe?
kumaAmayO
HahahakumaAmayO
Umri wake unaujua?So sad. Alikuwa bado mdogo sana
Chunga sana maneno yako.
Huyu si muislamu ama hakuwa kwa mfungo, anyway apumzike kwa amani
Mnatia aibu sana kumzungumzia mtu ameshaondoka, kama vile nyie ndiyo mmekamilika.Ndiyo Twin
Twin marehemu hasemwi ujue[emoji85] ngoja watu wa JF watushukie[emoji2][emoji2]
Mnatia aibu sana kumzungumzia mtu ameshaondoka, kama vile nyie ndiyo mmekamilika.
Nkamu kama Nkamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua watu kama wewe wenye viherehere lazima muwepo kipi kibaya hapo?
Acha ujuaji!!!!
Nkamu kama Nkamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka niwe niwe waaako, nifanye niwe waaako🎵 Mpenzii 🎵.. sijawahi kuchoka kuusikiliza huu wimbo jamani... Pumzika kwa amani Maunda...
Kipo ni fumbo jamani, hata yeye hakujua kama leo hatoiona..