TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

kumaAmayO
Hahaha
giphy.gif
 
Dah RIEP sister, ulituacha wapenzi wa mziki tukiwa bado tunahitaji mavitu yako, sasa hivi umeiacha familia pia mapema wakiwa wanakuhitaji.

Bado naamini Vumilia na Maunda kama wamekaza huenda legacy ya Jide ingekuwa inapiganiwa kama ya mwendazake.
 
Nataka niwe niwe waaako, nifanye niwe waaako🎵 Mpenzii 🎵.. sijawahi kuchoka kuusikiliza huu wimbo jamani... Pumzika kwa amani Maunda...
Kipo ni fumbo jamani, hata yeye hakujua kama leo hatoiona..

Sijawahi kuuchoka huu wimbo pia. Nausikiliza hata sasahivi.

Akimalizia ''Najua ni ngumu wazi mi kuelezea lakini ninabidi mpenzi kwangu kukwambia.....vile ninavyohisiii.''

Pumzika kwa amani Maunda Zorro. Pole kwa familia nzima ya Zorro.
 
Back
Top Bottom