TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Yani saingine waweza sema sijui bora hata angekuwa hamiliki gari .

Bora hata asingejifunza kuendesha Gari labda yasingemkuta dada wa watu ! [emoji848][emoji848]
 
Ratiba mazishi ya Maunda Zorro.
Maunda.jpg
Pia soma
Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022
 
[emoji445] Comeback Comeback Comeback Nzeeela, Nzelaa Weetuu, Nzela Mama Miss You Nzela Wa Mamaa, Your Brother N Sisters Miss You, Comeback Nzela Weetu, Comeback Nzeeela, Comeback Hoome, Comeback ( Mara 6), Ooooh Nzeelaa [emoji445]

We Will Miss You Nzela [emoji26]
 
Kwani huu wimbo aliimbiwa Maunda?
 
Yani saingine waweza sema sijui bora hata angekuwa hamiliki gari .

Bora hata asingejifunza kuendesha Gari labda yasingemkuta dada wa watu ! [emoji848][emoji848]

Muda umefika hamna namna,

كُلُّ نَفْسٍ ذَائِقَةُ الْمَوْتِ ۗ وَإِنَّمَا تُوَفَّوْنَ أُجُورَكُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ ۖ فَمَنْ زُحْزِحَ عَنِ النَّارِ وَأُدْخِلَ الْجَنَّةَ فَقَدْ فَازَ ۗ وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا مَتَاعُ الْغُرُورِ
Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu.
 
Nasikia Kuna mgogoro huko kwamba Maunda Msiba uwe kwao au Huyo Mzazi Mwenzake.
.
Mzee Zoro anadai Kwamba Msiba hauwezi kuwa pale kwake Tuangoma kwakua Mzazi mwenzie na Maunda alilipa mahari lkn hakuoa.
Huyo nzee Defao nae aache upuuzi,km mahari ililipwa huyo jamaa kakaa na huyo binti miaka kibao kuleta mlolongo kipindi cha msiba kutamfufua.
Wazike kwa amani kila mtu ashike lake
 
Back
Top Bottom