TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Lala salama Maunda
 
"Chanzo cha kifo ni ajali ya gari, niliachana na Maunda saa 12 jioni ajali amepata mida ya saa 4 usiku, ila sina uhakika sana (wa muda aliopata ajali) hadi nikifika Hospitali maana nilirudi nyumbani nikiwa nimechoka sana (Tafsiri yangu: kuchoka sana=Kulewa sana)."

Kwa maelezo haya nikajua marehemu alikuwa amekunywa pombe kupita kiasi na huenda wakiwa msibani walikuwa wanakunywa pombe. R.I.P Maunda Zorro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…