TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Mmhhh!

Kama ni kweli basi Mungu aipe faraja familia yake
 
Kila nafsi itaonja umauti,
Pole Kwa Familia Mwenyenzi Mungu awape faraja kipindi hiki kigumu.
 
Daah..kweli dunia ni mapito..tutamkumbuka kwa nyimbo zake..ikiwemo mapenzi ni ya wawili na nataka niwe wako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom