Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kwanini wanaruhusu hayo malori hayo usiku. Nasikia yanakimbia balaa ili kupiga trip nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah RIP Maunda na kumbuka kipindi yupo Tabata kwa mama yake ,yy yupo form IV mimi form one tulikuwa tunapanda gari kituo kimoja,kipindi hiko pisi ya ukweli.Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam.
Maunda Zorro ni mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro pia ni mdogo wa mwanamuziki Banana Zorro.
Maunda Zorro aliwahi kutamba na vibao kama vile 'NATAKA NIWE WAKO' na 'MAPENZI NI YA WAWILI' ambavyo mpaka sasa vinapendwa na wapenzi wa muziki kwani ni aina ya muziki usiochuja.
Apumzike kwa Amani
View attachment 2186717
View attachment 2186720
Vitz nazo pia ni matatizo makubwa zaidi, RIP MaundaMalori ya mchanga ni tatizo kubwa Sana ,pamoja na Yale ya kubeba mfugo ,
Madereva wa haya malori wengi either makondakta au deiwaka au wanavuta bangi na kutumia vinywaji vikali
Unataka yawe mchana ili yaparamie wengi zaidi?Kwanini wanaruhusu hayo malori hayo usiku. Nasikia yanakimbia balaa ili kupiga trip nyingi.
Ajali Haina kinga mkuuMalori ya mchanga ni tatizo kubwa Sana ,pamoja na Yale ya kubeba mfugo ,