Pumba ,kina nandi, Vanessa ,harmonize na rayvany Kila siku wafanya shoo za kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ficha ujinga na ujuaji wa kishamba,Show zipi za kimataifa, labda huyo Vanessa nafuu yake kasomea Kenya hivyo hata IQ na kutema yai yuko freshi.
Wewe mzee mbona unalihusudu sana Yai?Show zipi za kimataifa, labda huyo Vanessa nafuu yake kasomea Kenya hivyo hata IQ na kutema yai yuko freshi.
Wewe mzee mbona unalihusudu sana Yai?
Btw kuna jamaa anaitwa FidQ ni rapper mmoja mzuri sana ila sijui hua anakwama wapi kunyakua tuzo kama hizi...
Kaligraph sina shaka nae mimi nakubali sana nyimbo zake!!Na kinachomsaidia hua anaboresha sana mashairi yake lakini habadili style yake ya kuchana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya mnatema YAI VIZAShow zipi za kimataifa, labda huyo Vanessa nafuu yake kasomea Kenya hivyo hata IQ na kutema yai yuko freshi.
Kumbe kuna mahiphop head humu. Alipotelea wapi Fid Q? Itakuwa ukichaa kuanza kufananisha style ya Khaligraph na ya waimbaji wa bongo fleva. Nakumbuka jamaa flani hivi kutoka Tz, walikuwa wanaitwa Nako 2 Nako. Walikuwa wanachomoa vitu hardcore kweli kweli, my kind of music. Hadi walitoa collabo na wakali wao enzi hizo, Ukoo Flani kutoka Kenya.Wewe mzee mbona unalihusudu sana Yai?
Btw kuna jamaa anaitwa FidQ ni rapper mmoja mzuri sana ila sijui hua anakwama wapi kunyakua tuzo kama hizi...
Kaligraph sina shaka nae mimi nakubali sana nyimbo zake!!Na kinachomsaidia hua anaboresha sana mashairi yake lakini habadili style yake ya kuchana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo nakubali Rostam na Roma Mkatoliki.Kumbe kuna mahiphop head humu. Alipotelea wapi Fid Q? Itakuwa ukichaa kuanza kufananisha style ya Khaligraph na ya waimbaji wa bongo fleva. Nakumbuka jamaa flani hivi kutoka Tz, walikuwa wanaitwa Nako 2 Nako. Walikuwa wanachomoa vitu hardcore kweli kweli, my kind of music. Hadi walitoa collabo na wakali wao enzi hizo, Ukoo Flani kutoka Kenya.
Ficha ujinga na ujuaji wa kishamba,
Hapa nimekupa wawili tu,
Embu tuletee ratiba hata ya msanii mmoja kutoka hapo kunyaland.
Alafu nyee nyee za kingereza, tunaimba kiswahili na nyimbo zetu zinaenda mbali.
Roma & Stamina (Rostam)Bongo nakubali Rostam na Roma Mkatoliki.
Roma & Stamina (Rostam)
Wewe mzee mbona unalihusudu sana Yai?
Btw kuna jamaa anaitwa FidQ ni rapper mmoja mzuri sana ila sijui hua anakwama wapi kunyakua tuzo kama hizi...
Kaligraph sina shaka nae mimi nakubali sana nyimbo zake!!Na kinachomsaidia hua anaboresha sana mashairi yake lakini habadili style yake ya kuchana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mrundi na wabeba mabox πππ enyewe wivu ni kitu kibaya,Hao huko nje huenda kuwaimbia Wabongo wabeba mabox wanaoishi huko...
Diamond tu ndiye kidogo mnamtegemea, sema yeye asili yake Burundi, nyie wengine wote hamna lolote.
huyu ndio Roma?
Alafu kuna Stamina? Nieleweshe π