Mwanamuziki Mkongwe Nchini Hussein Jumbe Amevunjika Mguu Wake Baada ya Kuota Akipambana Na Jogoo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Amesema ndoto hiyo ya ajabu imemfanya avunjike mguu wake.

Mwanamuziki huyo Kiongozi wa bendi ya Talent amedai ndoto hiyo siyo ya kawaida kabisa na ameamua kumuachia Allah aliye mjuzi wa mambo yote.

Anadai Jogoo huyo wa ndotoni alijaribu kumdonoa na yeye aliamua kupambana nae kikamilifu kwa kumpiga kwa nguvu kubwa ndiyo maana amevunjika Mguu
 
Yaani chadema kwa kiki hamjambo kila siku mnataka kutrend tu.
 
bila shaka alitaka kumlima dochi.

pole mtaalamu.
 
Nimeisikiliza hii nimecheka sana. Dah Jumbe haya sasa chechemea tu kaka mkubwa huna jinsi.
 
Bange sio chai
 
....................Isije ikawa anatafuta kick tu maana haiyumkiniki,uote unapigana kisha uamke umeumia kweli?.....tena kupigana kwenyewe na kuku???

How!!!
 
Loooh...

Pole sana mjomba wetu H.Jumbe...

Mshana Jr tunakuomba TAFADHALI...

Man Kitoabu mzee wa Cabo Del Gado na Mocimboa Da Praia Jongea hapa TAFADHALI.....

Jogoo ni alama yetu sisi wapenzi wa klabu ya LIVERPOOL pale ANFIELD.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…