Mwanamuziki Mkongwe Nchini Hussein Jumbe Amevunjika Mguu Wake Baada ya Kuota Akipambana Na Jogoo

Amesema ndoto hiyo ya ajabu imemfanya avunjike mguu wake.

Mwanamuziki huyo Kiongozi wa bendi ya Talent amedai ndoto hiyo siyo ya kawaida kabisa na ameamua kumuachia Allah aliye mjuzi wa mambo yote.

Anadai Jogoo huyo wa ndotoni alijaribu kumdonoa na yeye aliamua kupambana nae kikamilifu kwa kumpiga kwa nguvu kubwa ndiyo maana amevunjika Mguu
View attachment 1624849View attachment 1624878View attachment 1624879View attachment 1624880View attachment 1624881View attachment 1624883
Imani za kiswahili zahusishwa

Yuko Band gani siku hizi alikuwa anahamahama sana kati ya Msondo na Mlimani
 
Unaweza kuota unasukumiziwa moto na Larenz Tate,kumbe Jini kijicho wa Kilwa kivinje.
 
Mimi juzi nilipiga ngumu ukutani baada ya kuhisi miccm imenivamia
 
Nimesoma sehemu alikuwa anampiga mateke huyo kuku.kumbe alikuwa anapiga ukuta..
Huyo regend haitaji Kiki.
....................Isije ikawa anatafuta kick tu maana haiyumkiniki,uote unapigana kisha uamke umeumia kweli?.....tena kupigana kwenyewe na kuku???

How!!!
 
Sometimes unachotamka na watu Kukufahamu kwa hicho kinaweza kikakutokea.... MZEE WA "Nachechemea" saiv kweli anachechemea
 
Amesema ndoto hiyo ya ajabu imemfanya avunjike mguu wake.

Mwanamuziki huyo Kiongozi wa bendi ya Talent amedai ndoto hiyo siyo ya kawaida kabisa na ameamua kumuachia Allah aliye mjuzi wa mambo yote.

Anadai Jogoo huyo wa ndotoni alijaribu kumdonoa na yeye aliamua kupambana nae kikamilifu kwa kumpiga kwa nguvu kubwa ndiyo maana amevunjika Mguu
View attachment 1624849View attachment 1624878View attachment 1624879View attachment 1624880View attachment 1624881View attachment 1624883
Hivi huyu ndo Legend wa wabana pua hapa nchini au kuna mwingine?
 
Amesema ndoto hiyo ya ajabu imemfanya avunjike mguu wake.

Mwanamuziki huyo Kiongozi wa bendi ya Talent amedai ndoto hiyo siyo ya kawaida kabisa na ameamua kumuachia Allah aliye mjuzi wa mambo yote.

Anadai Jogoo huyo wa ndotoni alijaribu kumdonoa na yeye aliamua kupambana nae kikamilifu kwa kumpiga kwa nguvu kubwa ndiyo maana amevunjika Mguu
View attachment 1624849View attachment 1624878View attachment 1624879View attachment 1624880View attachment 1624881View attachment 1624883
Njoo huku Mshana Jr
 
Back
Top Bottom