Mwanamuziki Mkongwe Nchini Hussein Jumbe Amevunjika Mguu Wake Baada ya Kuota Akipambana Na Jogoo

....................Isije ikawa anatafuta kick tu maana haiyumkiniki,uote unapigana kisha uamke umeumia kweli?.....tena kupigana kwenyewe na kuku???

How!!!
Kwani wewe hujaota unapiga bao na ukiamka ni kweli boxer imelowa!
 
Waziri mkuu Majaliwa aende Temeke Mikoroshini kumtembelea na huyu mwanamuziki

Nachechemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…