Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Bila kunsahau Suleyman Mwanyiro (Computer) . Duu kweli dunia ni mapito!! Pumzika kwa amani mzee Mabela!Nitakwenda na naani msondo ngooma, nitacheza na nani magoma kitakita.
Kalale mahali pema .
Athumani Momba,
Selemani Mbwembwe,
Maina,
TX Moshi William,
Muhidin Maalim Ngurumo na leo
Said Mabera.
Sio kweli mkuu jamaa umri ulienda sana pia feg na konyagi alipiga sana nilimuona last timu pale dar safari pak buza'Dally Kimoko Virus' anamaliza sana 'Wanamuziki' na sasa baada Kumaliza 'Kupukutisha' hawa wa Msondo zamu ya FM Academia na Twanga yaja.
Penye penzi hapakosi tenzi, wakale walisema na huwezi kula muwa bila kukuta fundo. Huu wimbo unaniacha hoi saana. Wewe utakua mpenzi wa msondo mwenzangu. Najua utakua unakunywa safari na Ni mshabiki wa timu kongwe. Dar es Salaam Young Africans.Jana usiku tulikua tunaangalia wimbi wa msondo ngoma unaitwa kwenye penzi hapa kosi tenzi. Yule jamaa mfupi kibonge na Mzee Mabera tulimjadili kua ndio mkongwe aliyebaki. Kumbe ndio ulikua usiku wake wa mwisho. Apumze kwa amani kwakweli.
Kumbe wewe ni Mdau mwenzangu wa Kisuma siku ya Alhamis?Duh, nikijaga bongo huwa sikosi Msondo Kisuma.
Sijui brotherman gani atarithi mikoba.
Rest in Peace Said Mabera.
Kweli kabisa, Ridhiwani Mpangamawe ndio anaebeba ladha halisi ya Msondo.R.I.P mabera. Sema tune ya gitaa lake litapotea ila ukitaka ujue muziki ama melody ya muziki wa msondo ipo katika vidole vya Abdul Ridhiwani Pangamawe huyu alifundishwa gitaa na Kassimu Mbwana Mponda. Na kinanda alifundishwa na Waziri Ally. Kweli msondo itapata pigo ila melody ya kihuni katika gitaaa bado ipo katika vidole vya solo attack Tanzania. Msikilize kwenye Kalunde na ndugu hatuelewani.
Sana mkuu, huwa sikosi mpaka mwisho.Kumbe wewe ni Mdau mwenzangu wa Kisuma siku ya Alhamis?
Sana mkuu.Kumbe kobelo upo kama mimi