TANZIA Mwanamuziki mkongwe, Said Mabera afariki dunia

Penye penzi hapakosi tenzi, wakale walisema na huwezi kula muwa bila kukuta fundo. Huu wimbo unaniacha hoi saana. Wewe utakua mpenzi wa msondo mwenzangu. Najua utakua unakunywa safari na Ni mshabiki wa timu kongwe. Dar es Salaam Young Africans.
Hahaaa
 
Sio kweli mkuu jamaa umri ulienda sana pia feg na konyagi alipiga sana nilimuona last timu pale dar safari pak buza

Sitaki na usinilazimishe nikaanza kuzitoa 'Siri' za Watu, ila pengine ulibakia Wewe tu pekee kutokujua kuwa Wanamuziki hao wengi walishajiwakia.
 
Mabe mabe mabe mabe mabela. Hapo ni kwenye korasi ya wimbo wa msondo ni baada ya gitaa la said mabela kucharazwa kweli kweli
 
Da....nimesikitika sana kuondoka kwa gwiji la muziki ujanani mwangu.
RIP Mabela.
 
Mpiga solo mkongwe wa bendi ya msondo ngoma mzee Saidi Mabele ameaga dunia usiku wa kuamkia leo kwa kinacho daiwa kuwa ni mshtuko wa moyo.Habari nyingine zaidi zitafwatia baadae.R.I.P.
RIP mabera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…