Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Nilikuwa darasa la saba mwenzio! kumbe na wewe ni kinda!Marehemu Josky Kiambukuta alikuwa mwanamuziki hodari aliyeimba katika bendi ya Tp okk jazz ya marehemu Franco, alijiunga na band hiyo mwaka 1973.
Duh....nina miaka 3