Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wahenga nawaona mnavyolia .Marehemu Josky Kiambukuta alikuwa mwanamuziki hodari aliyeimba katika bendi ya Tp okk jazz ya marehemu Franco, alijiunga na band hiyo mwaka 1973.
Duh....nina miaka 3