TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Josky Kiambukuta Londi afariki Dunia

Kuna watu wakifariki inabidi ku-celebrate maisha yao kwa urithi wanao acha nyuma. Commandant Josky ni mmoja wao. 1969 alikuwa na Dr. Nico halafu akaingia Continental Orchestra na 1973 rasmi akakaribishwa TP OK JAZZ ya Luambo na Lutumba. Huyu ndio sauti ya OK Jazz kwani ameshiriki kuimba nyimbo nyingi kuliko muimbaji yeyote wa TP OK JAZZ.

Anaimba kwa madaha sana na hupanda na kushuka. Lakini pia ni mtungaji nyimbo wa kiwango cha juu kabisa akiwafuatia Franco na Simaro kwa ubora na wingi wa tungo zake. Ameacha ngoma kama Chacun poir soi (papa yoyo) na Bimasha ngoma ambazo zilikuwa zinamvuruga mzee mzima Franco akiwa kwa stage. Alikuwa karibu sana na Lutumba Simaro ambaye ndie alimleta TP OK JAZZ. Adios vieux Josky.
Oh tp okk jazz ilikuwa na ma legend ,Ila wamepukutika karibu wote kuanzia luambo makiadi,madilu,tabu ley,ndombe opetum
 
Oh walipiga colabo fulani ya wimbo NGUNGI Ni wimbo mzuri mno
Choc choc choc project ilikuwa colabo kati ya Tabu Ley, Franco na Michelino. Tabuley alishuka na Ngungi, Franco akaja na double album baadae Tabuley akadrop Michelino akaja na album yenye Mtambula Mpipa na Leila na Josky akaja na double album yenye Missile, Tu mechante na Chacun poir soi. Josky alishiriki kuimba karibu nyimbo zote na nyimbo nyingine aliimba sauti zote. Hiyo ilikuwa 1983.
 
Machozi yananilengalenga
 
Alitisha Sana,alikuwa anataka kumfunika luambo
 
Words of wisdom…_.jpg
 
Back
Top Bottom