TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Josky Kiambukuta Londi afariki Dunia

Marehemu Josky Kiambukuta alikuwa mwanamuziki hodari aliyeimba katika bendi ya Tp okk jazz ya marehemu Franco, alijiunga na band hiyo mwaka 1973.

Duh....nina miaka 3
Nilikuwa darasa la saba mwenzio! kumbe na wewe ni kinda!
 
Nipo hapa nasikiliza voyage ya bandundu yake marehemu Ndombe opetum
 
Mzee nakukubali kwa história ya rhumba
Mm ni mlevi WA rhumba
 
Marehemu Mayaula Mayouni alikuwa na sauti nzuri mno,wimbo wake alioutunga akiwa na tp okk jazz 1980's WA CHERIE BONDOWE unanikosha sana.
 
luambo makiadi said:
Marehemu Mayaula Mayouni alikuwa na sauti nzuri mno,wimbo wake alioutunga akiwa na tp okk jazz 1980's WA CHERIE BONDOWE unanikosha sana.
Cherie bondowe waimbaji ni boyibanda michel, wuta mayi, na josky Kiambukuta. Mayaula hakuwahi kuimba hata mara moja ndani ya ok jazz hiyo ilikuwa kazi ya josky na wsimbaji wengine.
 
Mama na Ngai !
 
Cherie Bondowe ni kazi ya Mayaula Mayoni
 
R.i.p Legend
 
Mzee masiya unanikosha mno na simulizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…