TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Mafumu Bilal Bombenga afariki dunia

TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Mafumu Bilal Bombenga afariki dunia

Cha ajabu kuna watu watajazana kusema sio korona wakati hakuna aliyesema ni korona.

Hakika kujilisha 23:59 kila siku ipitayo ni mtihani mkubwa sana. Hawa ni watu na CV zao.

Tangulia mkuu ukapumzike kwa amani tuko kwenye foleni twaja.
 
Cha ajabu kuna watu watajazana kusema sio korona wakati hakuna aliyesema ni korona.
Kwani wewe umesemaje?

Umenikumbusha hadithi ya std3 au 4 tulisoma zamani: .....kijiji kilivamiwa na maadui, wanakijiji wakaenda kujificha chini ya rundo la majani.

Sasa adui akawa anapita juu ya rundo la majani hayo, raia wa kwanza alipokanyagwa bila adui kujua, raia huyo akalalamika chini ya maficho hayo: 'acha kunikanyaga', hapo hapo adui akasikia sauti, akakita mkuki, jamaa akafa.

Raia wa pili alimposikia mwenzake akilalamika kakanyagwa, naye akasema 'acha kuongea watakusikia', hapo hapo adui akakita mkuki wake, jamaa kwaheri.

Raia wa tatu alivyosikia wenzake wakiongea, yeye akasema 'shauri zenu, mimi siongei', adui akasikia sauti akakita mkuki akaua!......

Ama kusema:.... 'nisingelikuwa ninakuheshimu ningekutukana sana'...

Mifano namna hiyo ni mingi, kwa hiyo wewe ndiye 'kivumishi' unayezusha kwamba kafa kwa korona period

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oh maskin kumbe ndo huyu? Poleni kwa fam...alale pema peponi!
Ila mwanaFA kujiunga na ccm umenikwaza sana
 
Boss amejiunga lini tena? maana mi najuaga ni mwana CCM yule,wakina Juma Nature,diamond,mpoto etc yaani inshort wakuda kibao wako huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Si ametomboka anagombea ubunge CCM? Yaani nimemchukia! Hii nchi ina Laana jamani!..kweli wasanii wengi ni CCM...njaa ni mbaya! Anywys wana uhuru wa kuamua wapi waende! Tunamwachia Mungu
 
Mbele yako, Nyuma yetu.

Hakika kila nafsi itaonja umauti.

Poleni sana wafiwa
 
Back
Top Bottom