TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Mafumu Bilal Bombenga afariki dunia

TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Mafumu Bilal Bombenga afariki dunia

Nilikuwa nasubiri wapotoshaji waseme kafa kwa korona,niwape za chembe

Kumbe nao wameshtuka
 
Apumzike kwa Amani Mafumu Bilali Mbombenga.
 
NI UKUMBUSHO KWA WALIOBAKI HAI, TUSICHEZEE NGUVU ZETU KTK KUMTII IBILISI NA MAMBO YAKE IKIWEMO HIZO MANGOMA, POMBE, ZINAA USHIRIKINA NA NA NA... KWANI TWENDE TWENDAVYO PUA IMEELEKEA CHINI TU.

Watu lazima baada ya kazi na mihangaiko ya kutafuta riziki basi angalau wale bata, kazi na bata muhimu.

RIP wanamuziki wote waliotoa burudani kwa wazee wetu imewafanya waishi maisha marefu, bila hofu wala stress na sisi vijana kuendelea kufaidi simulizi za enzi zao maana bata hujenga siha njema ya mwili na akili.
 
King dodoo, christian bella na mmiliki mmoja wa bar huko kimara wamechangia sana kifo cha huyu mzee
 
Back
Top Bottom