TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

Nimejua leo king of Soukus Aurlus Mabele kafariki toka 19 March. Alikuwa akisumbuliwa na kansa mda mrefu COVID-19 ikamuua. Nimehuzunika sana. Yani hakuna mwajf yeyote alitujuza inaonekana humu vijana wadogo wengi sana.

Kuna vibao vyake vitatu hatari sana
1. Embargo
2. Betty
3. Aste-De

Enzi hizo miaka ya tisini.. abonse abonse loketo Daliki moko.

R. I p KingView attachment 1432294

Mkuu mbona ni mwaka umepita sasa niliandika uzi kuhusu kuumwa kwake mpaka akakimbiwa na mke pia habari za kifo chake Uzi uliletwa.

Hamzipati taarifa kama hizi kutokana na kwamba hazisomwi na wengi hivo wewe ukija JF huzikuti kwenye News feed


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom