TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

my Fav album Miss Soukuss, favorite musics aveline Stop alteze na Haleluya hapo Radio Cassette aina ya LASONIC ikiwa connected na Betry ya YUASA volt 12.Ikitumbuiza uchezi mbali na kalamu ya BIC kuzungusha tape upate side B R.I.P Aurus Mabelle
Mkuu, kuna hiyo albamu ya MISS SOUKOUS, naona wengi hawaitaji, wapo na EVERINA, EVERINA tu! Kwangu mimi, albamu hiyo, pamoja na GENERATION WACHIWA, ndio kilele cha UBORA wake!
Hebu muone hapa kwenye MA PRIERE ya MISS SOUKOUS

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Miss+Soukouss+-+Ma+Priere+edited+%28+240+X+240+%29.mp4
    15.9 MB
Hili lijamaa kila sehemu uingiza siasa

In God we Trust
What the Fvck is wrong with you moron....
Kuna mahali nimeongea siasa hapo?
Kuuliza kama kuna tatizo mtu akifa kwa ngoma kuna siasa gani hapo? Wewe ndiye mtumwa wa siasa, ukiona coment yangu yoyote unawaza siasa...
upgrade yourself mentally....bado uko chini sana kimawazo...
 
We ni mshamba sana. Ukiona mtu anakimbilia matusi ujue ni kinanda tu kama wewe
What the Fvck is wrong with you moron....
Kuna mahali nimeongea siasa hapo?
Kuuliza kama kuna tatizo mtu akifa kwa ngoma kuna siasa gani hapo? Wewe ndiye mtumwa wa siasa, ukiona coment yangu yoyote unawaza siasa...
upgrade yourself mentally....bado uko chini sana kimawazo...

In God we Trust
 
Pia kuna Mwanamuziki Mkongwe wa hapa nyumbani amefariki tarehe 19 march huko kwao Morogoro, anaitwa Lazaro Bonzo. Alipigia bendi kongwe ya Kurugenzi jazz ya Arusha iliyotamba miaka kadhaa nyuma.

Bonzo brothers walikuwa watatu kwenye hii bendi (kama sikosei), na nadhani Lazaro ndio anakamilisha list ya watatu hao kutangulia mbele ya haki.

Kurugenzi ndio bendi iliyoibeba Arusha tangu miaka ya themanini mwanzoni ingawa zilikuwepo bendi nyingine kadhaa lakini hazikushamiri kama Kurugenzi. Kuna baadhi ya Wanamuziki wakubwa pia wamepitia bendi hii....akiwemo Jabali la Muziki Marijani Rajabu.

Pumziko La Amani Apate Mwendazake Lazaro Bonzo.

HATA KAMA SIO MPENZI WA MUZIKI WA BONGO WA 70's kwenda 80's, BASI WALAU CLICK KUANZIA DK 4:19 USIKILIZE JINSI VYOMBO VINAVYOTENDEWA HAKI, NDIO UJUE BONGO FLEVA WANAFANYA UTANI TU KWENYE SANAA YA MUZIKI.
 
We ni mshamba sana. Ukiona mtu anakimbilia matusi ujue ni kinanda tu kama wewe

In God we Trust
Una akili fupi sana...tusi liko wapi hapo? What the fvck sio tusi ni expression. Au tusi lipi umeliona hapo?
 
Nimejua leo king of Soukus Aurlus Mabele kafariki toka 19 March. Alikuwa akisumbuliwa na kansa mda mrefu COVID-19 ikamuua. Nimehuzunika sana. Yani hakuna mwajf yeyote alitujuza inaonekana humu vijana wadogo wengi sana.

Kuna vibao vyake vitatu hatari sana
1. Embargo
2. Betty
3. Aste-De

Enzi hizo miaka ya tisini.. abonse abonse loketo Daliki moko.

R. I p King
Screenshot_20200427-153425.jpg
 
Back
Top Bottom