TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

Kumbuka na wewe unaelekea huko huko
Sasa kama ingekuwa ile kazi ya unenguaji inasaidiaga huko akhera basi angeendelea kula raha. Lakini ni huruma ttuu maskin atachapika milele

In God we Trust
 
R.I.P Mabele...jamaa alikuwa mgonjwa muda mrefu na alipigika sana na maisha hakuwekeza sasa kupooza kuchanganya na corona ndio umauti umemfika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mkuu sisi wahenga tunasononeka sana

1:Madilu system

2:Luambo Makiadi

3😛epe Kalle

4:Tabu Ley

5:Aurlus Mabele hometown,

In God we Trust
 
Ila takwimu za corona zinaonesha wengi waliokufa ni wale wenye umri mkubwa na wale pia wenye afya mgogoro kutokana na maradhi hata kama wana umri mdogo. Kwa hiyo haishangazi yeye kufariki baada ya virus wa corona kumdhoofisha zaidi maana amekuwa mgonjwa kabla hapo kabla. Sina mashaka yoyote na taarifa hii.
Kwa mujib wa haya maelezo kifo chake kina ukakasi kidogo, hauwezi kukihusianisha moja kwa moja na Corona.

Bado ntaendelea kuwa wa mwisho kuamini Corona itaua mwafrika. Tuendelee kuchukua tahadhari na kuzingatia tahadhari zote. Huu ugonjwa una athari kijamii, kiuchumi na kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kweli alipigika kiasi hicho? Maana wanasema aliuza kopi za muziki wake zaidi ya 10m
In God we Trust
Mungu amuweke mahali pema peponi
huyu jamaa Aurulus Mabele, Diblo alimuita Brussel kutoka Congo Brazaville na wakashirikiana naye katika Bendi ya LOKETO (mahips/wowowo) baadaye akavuma zaidi yeye km muimbaji, nasikia mapato Diblo ndipo alipomzidi kete.

Diblo Dibala (born 9 August 1954), often known simply as Diblo, is a Congolese soukous musician,[1] known as "Machine Gun" for his speed and skill on the guitar. In the mid-1980s, he formed his own band, Loketo (meaning 'hips'), with singers Aurlus Mabele and Mav Cacharel. A few years later, that band broke up, and in 1990 he formed a new group, Matchatcha, which is still active after a number of personnel changes.

Diblo akamtema Mabele mwaka 1990 na kuunda Matchatcha
lkn Wikipedia wametupa mwanga
Aurlus Mabele - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Back
Top Bottom