TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

Ukitaka ufahidi hayo mambo fika kisuma magomeni kuanzia saa 11 jioni
R.I.P legend tutaendelea kusikiliza hekima zako bar, asikwambie mtu majimbo ya kikongo na monde kama simba na nyama. Lokasa ya mbongo tuli mondeee

In God we Trust
 
Daaaah Tragedy, my condolence to the family and All his Fans.
 
RIP
Muziki wako tuliucheza tuliupenda siku hizi tumebakiwa na mangelengele ni vurugu tu
*** Alikuwa amepooza kwa kipindi kirefu
Corona itatumaliza ni hatari zaidi kuliko tunavyoambiwa na akina ummy na bashite (hawajui moja wala mbili)
Mungu atunusuru
 
my Fav album Miss Soukuss, favorite musics aveline Stop alteze na Haleluya hapo Radio Cassette aina ya LASONIC ikiwa connected na Betry ya YUASA volt 12.Ikitumbuiza uchezi mbali na kalamu ya BIC kuzungusha tape upate side B R.I.P Aurus Mabelle
 
Rip.namkumbuka namkubali sana enzi za disco vumbi,kwenye mbio za Mwenge na vilabuni plus vibanda vya TV alivuma sana Kwa kibao cha Loketo mpiga solo akiwa dally kimoko,
 
Back
Top Bottom