Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Tuliozaliwa 2002 hatuna cha kukoment zaidi ya RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoment Kwa mangwea,Tmk, jumanatureTuliozaliwa 2002 hatuna cha kukoment zaidi ya RIP
RIP
Muziki wako tuliucheza tuliupenda siku hizi tumebakiwa na mangelengele ni vurugu tu
*** Alikuwa amepooza kwa kipindi kirefu
Corona itatumaliza ni hatari zaidi kuliko tunavyoambiwa na akina ummy na bashite (hawajui moja wala mbili)
Mungu atunusuru
Huyu anatokea Congo Brazzavile,ingawa maisha yake mengi yalikua pale Kinshasa,Congo DR.
Mwanamuziki mgongwe wa DRC, Aurlus Mabele maarufu kama Mfalme wa Sokous amefariki dunia saa chache zilizopita jijini Paris nchini Ufaransa, huku kukiwa na taarifa kuwa huenda kifo chake kimesababishwa na virusi vya corona (Covid-19).
Mwanamuziki huyo ambaye taarifa zilizothibitishwa na familia yake zimeeleza kuwa alikuwa anasumbuliwa na tatizo la saratani ya koo kwa muda mrefu, alifariki jana, Machi 19, 2020 akiwa na umri wa miaka 67.
Mabele ndiye mwanzilishi wa kundi la Loketo lililoanza kutamba tangu miaka ya 1980, kundi ambalo lilifanya vizuri huku nyimbo zao zikivuka mipaka ya Afrika kwa kasi.
Mwandishi maarufu aliyekuwa nchini Ufaransa, Robert Brazza alithibitisha kifo cha mwanamuziki huyo na kutoa salamu zake za rambirambi.
“Hello mjomba Aurlus, hakika sitasahau ushauri wako, ulisema ‘Kuwa salama mdogo wangu na furahia’. Majonzi yangu ni makubwa usiku huu lakini heshima yangu kwako ni kubwa zaidi. Ulikuwa furaha, ulikuwa mwema. Daima. Nenda kwa amani Aurlus Mabelle. Ninafahamu shangazi Nzambi ameshakukaribisha tayari kwenye rehema,” aliandika katika Facebook.
Taarifa kuwa huenda amefariki kutokana na virusi vya corona zimekuja wakati ambapo Ufaransa imeshuhudia vifo vya watu 371 kutokana na virusi hivyo. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Wakala wa Afya nchini humo, visa vya corona vimeongezeka hadi 10,995 kutoka 9,134, ikiwa ni ongezeko la 20% ndani ya saa 24.
BAADHI YA VIBAO VYAKE NA ALIVYOSHIRIKI:
mbona simjui huyu,alikuwa maarufu kipindi gani??,cha nyerere au mkapa??Kwa wahenga naamini mtakuwa mnamkumbuka Aurlus Mabele mwanamziki mahiri wa kongo Brazzaville [emoji1077].
Leo hii 20-02-2020 amefariki akiwa huko nchini Ufaransa akiwa na umri wa miaka 67.Amekuwa akiugua kwa kipindi kirefu ugonjwa wa kupooza na corona imemkuta akiwa bado yu mgonjwa hivyo kuondoa kirahisi nguri huyo wa soukous.
In God we Trust
Mwanamuziki mgongwe wa DRC, Aurlus Mabele maarufu kama Mfalme wa Sokous amefariki dunia saa chache zilizopita jijini Paris nchini Ufaransa, huku kukiwa na taarifa kuwa huenda kifo chake kimesababishwa na virusi vya corona (Covid-19).
Mwanamuziki huyo ambaye taarifa zilizothibitishwa na familia yake zimeeleza kuwa alikuwa anasumbuliwa na tatizo la saratani ya koo kwa muda mrefu, alifariki jana, Machi 19, 2020 akiwa na umri wa miaka 67.
Mabele ndiye mwanzilishi wa kundi la Loketo lililoanza kutamba tangu miaka ya 1980, kundi ambalo lilifanya vizuri huku nyimbo zao zikivuka mipaka ya Afrika kwa kasi.
Mwandishi maarufu aliyekuwa nchini Ufaransa, Robert Brazza alithibitisha kifo cha mwanamuziki huyo na kutoa salamu zake za rambirambi.
“Hello mjomba Aurlus, hakika sitasahau ushauri wako, ulisema ‘Kuwa salama mdogo wangu na furahia’. Majonzi yangu ni makubwa usiku huu lakini heshima yangu kwako ni kubwa zaidi. Ulikuwa furaha, ulikuwa mwema. Daima. Nenda kwa amani Aurlus Mabelle. Ninafahamu shangazi Nzambi ameshakukaribisha tayari kwenye rehema,” aliandika katika Facebook.
Taarifa kuwa huenda amefariki kutokana na virusi vya corona zimekuja wakati ambapo Ufaransa imeshuhudia vifo vya watu 371 kutokana na virusi hivyo. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Wakala wa Afya nchini humo, visa vya corona vimeongezeka hadi 10,995 kutoka 9,134, ikiwa ni ongezeko la 20% ndani ya saa 24.
BAADHI YA VIBAO VYAKE NA ALIVYOSHIRIKI:
Cyo Diblo Dibala?Dally Kimoko noma ktk ile album.
Sent from my Redmi Note 7 using Tapatalk
mbona simjui huyu,alikuwa maarufu kipindi gani??,cha nyerere au mkapa??
Sent using Jamii Forums mobile app

Aliwahi kuugua ugonjwa wa Kiharusi enzi fulani.
R.I.P
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona simjui huyu,alikuwa maarufu kipindi gani??,cha nyerere au mkapa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Cyo Diblo Dibala?