Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Haswaaa naona tupo wengi wahenga
In God we Trust
RIP Aurlus Mabelee
Nilipenda Nyimbo zake kadhaa kama Everlyne
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP Aurlus Mabelee
Nilipenda Nyimbo zake kadhaa kama Everlyne
Kama una ugonjwa ndani ya mwili corona ikija lazima ipite na wewe R.I.P
Kwa wahenga naamini mtakuwa mnamkumbuka Aurlus Mabele mwanamziki mahiri wa kongo Brazzaville [emoji1077].
Leo hii 20-02-2020 amefariki akiwa huko nchini Ufaransa akiwa na umri wa miaka 67.Amekuwa akiugua kwa kipindi kirefu ugonjwa wa kupooza na corona imemkuta akiwa bado yu mgonjwa hivyo kuondoa kirahisi nguri huyo wa soukous.
In God we Trust
Kuwa na chanzo haimaanishi kama habari ina ukweli, ndio maana nikasema kama mdau anachosema ni cha ukweli kwamba sio ukweli basi huu ni upotoshaji (si busara kueneza uongo sababu tu una chanzo)Anafutaje wakati kuna chanzo? Source ya hii taarifa ni RADIO JAMBO YA KENYA leo hii asubuhi
In God we Trust
Hiyo habari ni kwa mujibu wa kituo cha radio Jambo nchini Kenya [emoji1139] leo asubuhi
In God we Trust
Hiyo jambo imetoa wapi Taarifa kama sio guessing .Anafutaje wakati kuna chanzo? Source ya hii taarifa ni RADIO JAMBO YA KENYA leo hii asubuhi
In God we Trust
He deserve to be termed as legend of soukos in Africa....aliweza kuutanga muziki wa africa duniani kipindi ambacho hamna social media...na africa na dunia nzima inamjua.....
Hiyo jambo imetoa wapi Taarifa kama sio guessing .
Huyu mzeee na Wanasoukous wenzake akina Daly Kimoko, Ballou Canta, Shimita, Diblo Diballa nk walikuwa wanafanya nasahau kabisa Ugumu wa maisha ya sasa pindi nikiskiliza nyimbo zao lkn sasa kwa huu msiba nimeumia mnooo. Pumzika kwa amani Mzee wetu.Hakika huyu jamaa alitimiza kazi yake ipasavyo
In God we Trust
Hakika mkuu sisi tunao zifahamu hizo nyimbo enzi zetu ndiyo tumeumia sana.Huyu mzeee na Wanasoukous wenzake akina Daly Kimoko, Ballou Canta, Shimita, Diblo Diballa nk walikuwa wanafanya nasahau kabisa Ugumu wa maisha ya sasa pindi nikiskiliza nyimbo zao lkn sasa kwa huu msiba nimeumia mnooo. Pumzika kwa amani Mzee wetu.
Lakini ugonjwa mkubwa ni stroke, corona kapata juzi.Tatizo mnakuwa wazito wa kufuatilia vyombo vya habari
In God we Trust