TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

Kwa wahenga naamini mtakuwa mnamkumbuka Aurlus Mabele mwanamziki mahiri wa kongo Brazzaville [emoji1077].

Leo hii 20-02-2020 amefariki akiwa huko nchini Ufaransa akiwa na umri wa miaka 67.Amekuwa akiugua kwa kipindi kirefu ugonjwa wa kupooza na corona imemkuta akiwa bado yu mgonjwa hivyo kuondoa kirahisi nguri huyo wa soukous.

In God we Trust
 
Wanamuziki . . . . .
Duh nimesahau nilitaka kuandika nini
RIP bingwa.
 
Tukome kukimbia nchi zetu; angekuwa Congo angekunywa Mwarobaini au dawa nyingine za magamba ya miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…