Si ndio vilikuwa vya enzi hizo!
OK, mi huwaga sio mpenzi wa hayo mavitu. ukishaanza kujitobotoboa tu basi bhana. Ntaishia kusifia uumbaji wa Mungu. Mtu unakuta katoboa matundu matano sikioni, loh!!!
OK, mi huwaga sio mpenzi wa hayo mavitu. ukishaanza kujitobotoboa tu basi bhana. Ntaishia kusifia uumbaji wa Mungu. Mtu unakuta katoboa matundu matano sikioni, loh!!!
Alikuwa akiwa jukwaani mwenyewe utampenda. Kawaida yake alikuwa akivaa nguo za staha hata akiwa jukwaani.
Wadada wa siku hizi kama hajaonesha uchi wake basi hajafanya muziki.
Mbona na hapo yupo uchii!!™
Duh! Sikujua aisee, kumbe uchi siku hizi ni mabegani na usoni! Salama lakini?
Hapa umechapia mukuu ,huyu sio Mbilia Bell ...huyu Yvonne Chakachaka but sio kosa lako inawezekana wewe ni kizazi hiki cha division 5 au bongo flava...vijana wa zamani tulijienjoy sana na hivi vitu sio bongo flava diamond kiuno kigumu ndo eti star huyo....Hapa alikua anasubiri sana.
Duh! Sikujua aisee, kumbe uchi siku hizi ni mabegani na usoni! Salama lakini?