Mwanamuziki mrembo aliyeshika Afrika

Mwanamuziki mrembo aliyeshika Afrika

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,986
Reaction score
5,058
Alikuwa akiwa jukwaani mwenyewe utampenda. Kawaida yake alikuwa akivaa nguo za staha hata akiwa jukwaani. Sauti yake ukiisikia jogoo linaweza kuanza kuwika.

Wanaume walikuwa wakijiuma tu na kutamani wangepewa japo nafasi ya kumgusa. Kuna siku nakumbuka nilikuwa kwa bro tumekaa sebuleni tunastorika. Kwenye TV kikapigwa kibao cha nakei nairobi, mzee mzima si akaanza kummwagia masifa kibao! Loh, shemeji wivu si ukamuingia, alikasirika na kuondoka kabisa akaenda kulala.

Wadada wa siku hizi kama hajaonesha uchi wake basi hajafanya muziki.

attachment.php
 
Attachments

  • 1393917034481.jpg
    1393917034481.jpg
    95.6 KB · Views: 1,987
Hata sasa mm bado navipenda

OK, mi huwaga sio mpenzi wa hayo mavitu. ukishaanza kujitobotoboa tu basi bhana. Ntaishia kusifia uumbaji wa Mungu. Mtu unakuta katoboa matundu matano sikioni, loh!!!
 
OK, mi huwaga sio mpenzi wa hayo mavitu. ukishaanza kujitobotoboa tu basi bhana. Ntaishia kusifia uumbaji wa Mungu. Mtu unakuta katoboa matundu matano sikioni, loh!!!

hahahahahahaha matundu matano noma sana kwa kweli
 
OK, mi huwaga sio mpenzi wa hayo mavitu. ukishaanza kujitobotoboa tu basi bhana. Ntaishia kusifia uumbaji wa Mungu. Mtu unakuta katoboa matundu matano sikioni, loh!!!

hahaa kwenye ulimi kwenye nyusi kote anaweka vipini
 
Duh! Nimeangalia video zake nyingi za hivi sijawahi kuona hiyo ya kwanza nahisi alikuwa kwenye pozi lake binafsi na sio jukwaani! Thanks kwa kunifumbua lakini.
 
yvone_chaka_chaka.jpgM.jpg
Hapa alikua anasubiri sana.
Hapa umechapia mukuu ,huyu sio Mbilia Bell ...huyu Yvonne Chakachaka but sio kosa lako inawezekana wewe ni kizazi hiki cha division 5 au bongo flava...vijana wa zamani tulijienjoy sana na hivi vitu sio bongo flava diamond kiuno kigumu ndo eti star huyo....
 
Back
Top Bottom