Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Alikuwa akiwa jukwaani mwenyewe utampenda. Kawaida yake alikuwa akivaa nguo za staha hata akiwa jukwaani. Sauti yake ukiisikia jogoo linaweza kuanza kuwika.
Wanaume walikuwa wakijiuma tu na kutamani wangepewa japo nafasi ya kumgusa. Kuna siku nakumbuka nilikuwa kwa bro tumekaa sebuleni tunastorika. Kwenye TV kikapigwa kibao cha nakei nairobi, mzee mzima si akaanza kummwagia masifa kibao! Loh, shemeji wivu si ukamuingia, alikasirika na kuondoka kabisa akaenda kulala.
Wadada wa siku hizi kama hajaonesha uchi wake basi hajafanya muziki.