Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Ni jambo la kishujaa alilolifanya na limewashida wengi.
Ludacris kupitia ukurasa wake wa instagram, amepost video akiwa kashikilia passport ya Gabon kwenye video ameandika maneno akionesha kwamba amepata uraia wa nchi mbili yani Gabon na America.
Hongera kwake nadhani amejitofautisha na black Americans wengine wasiopenda kujua lolote kuhusu Africa.