Mwanamuziki na muigizaji Ludacris ameamua kurudi nyumbani

Mwanamuziki na muigizaji Ludacris ameamua kurudi nyumbani

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Ni jambo la kishujaa alilolifanya na limewashida wengi.

Ludacris kupitia ukurasa wake wa instagram, amepost video akiwa kashikilia passport ya Gabon kwenye video ameandika maneno akionesha kwamba amepata uraia wa nchi mbili yani Gabon na America.

Hongera kwake nadhani amejitofautisha na black Americans wengine wasiopenda kujua lolote kuhusu Africa.
 
Ni jambo la kishujaa alilolifanya na limewashida wengi..
.ludacris kupitia ukurasa wake wa instagram,amepost video akiwa kashikilia passport ya Gabon kwenye video ameandika maneno akionesha kwamba amepata uraia wa nchi mbili yani gabon na america..
hongera kwake nadhani amejitofautisha na black Americans wengine wasiopenda kujua lolote kuhusu africa.
nilikuwa naenda kuandika tetesi kuhusu dunia itakavyobadilika mwaka huu, nimeona hii post nimefurahi.
 
Aisee! Kumbe lina maana hiyo jina lake,
Huyu jina lake halisi anaitwa Marshall Mathers ( kama kuna spelling nimekosea niko tayari kurekebishwa)

Sasa hilo jina la marshall mathers alikua analifupisha kwa kujiita M&M (m and m) watu wakawa wanalitamka eminem

Sasa huyu rapper alikua hapendi race yake alitamani kuwa black ndio mana akaja kumdiss mama yake kwanini alimzaa akiwa mzungu
 
Ni jambo la kishujaa alilolifanya na limewashida wengi..
.ludacris kupitia ukurasa wake wa instagram,amepost video akiwa kashikilia passport ya Gabon kwenye video ameandika maneno akionesha kwamba amepata uraia wa nchi mbili yani gabon na america..
hongera kwake nadhani amejitofautisha na black Americans wengine wasiopenda kujua lolote kuhusu africa.
Huyo amekuja kutalii tu.., ila atarudi US
 
Aisee mkuu jambo usilolijua ni kwamba Eudoxie Mbouguiengue ambae ni mke wa ndoa wa Luda ni mtu wa Gabon hapo hakijaaribika kitu apo Luda anawalinda tu watoto na familia yake ila LUDACRISS HAWEZ KUKAA GABON NAKWAMBIA, culture hazifanani, to add insult to injury watu wa ATL na ST LOUIS, wana utamadumi tofauti sana aisee huwa hata nashangaa LUDA yupo tofauti nao kidogo, hata accent yao ni ya tofauti sana ila Luda haongei kama wao, mfano wa watu wa huko ni type za kina rich the kid, aisee wanaongea accent ya ajabu sana yan hata mmarekani anaweza asielewe..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawa wajinga hua wanatuchora tu.

Eti Eminem anasema yeye hua anaamini ni Mu-africa,hivi anajua mziki tunaoupata huku kwa jiwe?.

Haijui Africa huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

ukiwa msomaji mzuri wa vitu basi utakuwa mbingu ya kwanza kidogo kama unataka kujibu.kumbuka mtu mweusi anaweza kuwa mweupe ila mweupe hawezi kuwa mweusi hayo kutoka kitabu cha enoki hata kwenye vitabu vya dini pande zote,asilimia kubwa wazungu wanajua asili yao ni afrika kwa kuwa uzawa wa baba yao au babu yetu ni adamu hata historia ina kwambia mtu wa kwanza kuishi duniani ni afrika kisayansi na kidini

Na historia yote hii unayoisema hapa iliyoandikwa kwenye hivyo vitabu ni wazungu hao hao ndio wameiandika.

Hapo ndipo nawakubali wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom