Aisee! Kumbe lina maana hilo jina lake,Eminem
E- every
M- mother
I- is
N- nice
E- except
M- mine
nilikuwa naenda kuandika tetesi kuhusu dunia itakavyobadilika mwaka huu, nimeona hii post nimefurahi.Ni jambo la kishujaa alilolifanya na limewashida wengi..
.ludacris kupitia ukurasa wake wa instagram,amepost video akiwa kashikilia passport ya Gabon kwenye video ameandika maneno akionesha kwamba amepata uraia wa nchi mbili yani gabon na america..
hongera kwake nadhani amejitofautisha na black Americans wengine wasiopenda kujua lolote kuhusu africa.
Eminem
E- every
M- mother
I- is
N- nice
E- except
M- mine
Alishawahi kumtukana mama yake kwanini alimzaa mzungu
Huyu jina lake halisi anaitwa Marshall Mathers ( kama kuna spelling nimekosea niko tayari kurekebishwa)Aisee! Kumbe lina maana hiyo jina lake,
Wewe jamaa wewe acha basi...[emoji1787][emoji1787]Hawa wajinga hua wanatuchora tu.
Eti Eminem anasema yeye hua anaamini ni Mu-africa,hivi anajua mziki tunaoupata huku kwa jiwe?.
Haijui Africa huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah wanatuchora tu hawa mkuu,waje wajionee hali halisi huku nyumbani kwa babu zao.
am sorry mama, I never mean to hurt you, I never mean to make u cry but tonight i'm cleanin' all ma closet!Eminem
E- every
M- mother
I- is
N- nice
E- except
M- mine
Huyo amekuja kutalii tu.., ila atarudi USNi jambo la kishujaa alilolifanya na limewashida wengi..
.ludacris kupitia ukurasa wake wa instagram,amepost video akiwa kashikilia passport ya Gabon kwenye video ameandika maneno akionesha kwamba amepata uraia wa nchi mbili yani gabon na america..
hongera kwake nadhani amejitofautisha na black Americans wengine wasiopenda kujua lolote kuhusu africa.
Hawa wajinga hua wanatuchora tu.
Eti Eminem anasema yeye hua anaamini ni Mu-africa,hivi anajua mziki tunaoupata huku kwa jiwe?.
Haijui Africa huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na historia yote hii unayoisema hapa iliyoandikwa kwenye hivyo vitabu ni wazungu hao hao ndio wameiandika.ukiwa msomaji mzuri wa vitu basi utakuwa mbingu ya kwanza kidogo kama unataka kujibu.kumbuka mtu mweusi anaweza kuwa mweupe ila mweupe hawezi kuwa mweusi hayo kutoka kitabu cha enoki hata kwenye vitabu vya dini pande zote,asilimia kubwa wazungu wanajua asili yao ni afrika kwa kuwa uzawa wa baba yao au babu yetu ni adamu hata historia ina kwambia mtu wa kwanza kuishi duniani ni afrika kisayansi na kidini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio maana alimchana kwenye Clean Out My Closet hahaha.Eminem
E- every
M- mother
I- is
N- nice
E- except
M- mine