Mwanamuziki na muigizaji Ludacris ameamua kurudi nyumbani

Mwanamuziki na muigizaji Ludacris ameamua kurudi nyumbani

Laiti kama US isingekuwa inaruhusu uraia Pacha, Usingeona hizi mbwembwe ujinga.

Ingekuwa Ukipata Uraia Wa Nchi Nyingine Unapoteza Uraia Wa US, usingeona nigga anakuja huku shitthole
 
toughlendon_1,
Sure those niggs wana accent ngumu mbaya...kuna mwamba huwa ana joke those niggs waki-trace their ancestry itakua ancestors wao walitokea chuga. Wana lafudhi wamarekani wenzao hawawaelewi kabisa. Ni mind you hii accent exclusively understood na niggs, hata whites wa AL wanatoka kapa.
 
sasa kuna jamaa haamin kama kuna watu hawaelew jamaa anacheza amsikize rich the kid kuanzia dakika ya 1:48 aniambie kasemaje 🤣🤣🤣🤣🤣 alafu akasome comments za wamarekani ndio atajua nasema nini kuhusu sehemu kama ST LUIS, Georgia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yea uko sawa bro
Huyu jina lake halisi anaitwa Marshall Mathers ( kama kuna spelling nimekosea niko tayari kurekebishwa)

Sasa hilo jina la marshall mathers alikua analifupisha kwa kujiita M&M (m and m) watu wakawa wanalitamka eminem

Sasa huyu rapper alikua hapendi race yake alitamani kuwa black ndio mana akaja kumdiss mama yake kwanini alimzaa akiwa mzungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure those niggs wana accent ngumu mbaya...kuna mwamba huwa ana joke those niggs waki-trace their ancestry itakua ancestors wao walitokea chuga. Wana lafudhi wamarekani wenzao hawawaelewi kabisa. Ni mind you hii accent exclusively understood na niggs, hata whites wa AL wanatoka kapa.
Me naonaga lafudhi ya manigga ni tofauti sana na wazungu ...manniga wanaongea kwa kuminya maneno sana afu kama awataki vile ..ila wazungu wanabonga streiti kabisa Sema wanaunganisha sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alishawahi kumtukana mama yake kwanini alimzaa mzungu

Halafu akaja kuomba msamaha sikiliza ngoma yake ya I'm sorry mama
Hahahaaa kumbe kizungu ni tatizo kwa wengi,kama uliusikiliza huo wimbo wa am sorry mama(cleaning out my closet) pale ungesikia mashairi ambayo yalikuwa yakimdhalilisha zaidi mama yake na akiendelea kumtuhumu huyo mama kuwa hampendi,anamwambia " Remember when the heil is dead you said you wish it was me,guess what iam dead! Dead for you as it can be" pia kina sehemu anamwambia mama yake "do your song,say that you are a wrong bitch" huyu jamaa ni laana man.
 
To be honest sio mfatiliaji sana wa mziki wa eminem

Hiyo ngoma ya cleaning out of my closet sijawahi kuisikia na target yangu hapo ni kuweka ile ngoma ambayo alimuomba msamahama mama yake inaitwa headlights kwa jina lingine ambalo linafaamika kwa watu wengi sorry mama

Sikuwahi kujua kua alimdis mama yake kwa ngoma zake mbili, binafsi najua ile ngoma ya my mom pekee ndiyo alimtukana mama yake kuhusu maswala ya drugs
 
Aisee mkuu jambo usilolijua ni kwamba Eudoxie Mbouguiengue ambae ni mke wa ndoa wa Luda ni mtu wa Gabon hapo hakijaaribika kitu apo Luda anawalinda tu watoto na familia yake ila LUDACRISS HAWEZ KUKAA GABON NAKWAMBIA, culture hazifanani, to add insult to injury watu wa ATL na ST LOUIS, wana utamadumi tofauti sana aisee huwa hata nashangaa LUDA yupo tofauti nao kidogo, hata accent yao ni ya tofauti sana ila Luda haongei kama wao, mfano wa watu wa huko ni type za kina rich the kid, aisee wanaongea accent ya ajabu sana yan hata mmarekani anaweza asielewe..

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unanikumbusha waswahili wa Louisiana. Yaani kama wabongo vile.
 
Ni jambo la kishujaa alilolifanya na limewashida wengi.

Ludacris kupitia ukurasa wake wa instagram, amepost video akiwa kashikilia passport ya Gabon kwenye video ameandika maneno akionesha kwamba amepata uraia wa nchi mbili yani Gabon na America.

Hongera kwake nadhani amejitofautisha na black Americans wengine wasiopenda kujua lolote kuhusu Africa.
Bado Floyd Myweather jr tunamsubiri arudi nyumbani Tanzania kumenoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom