King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Natafuta album ya huyu jamaa,sijui ntaipata wapi
nimefungua fasta kumbe ndiyo ivo,inanikumbuka gazeti la alasiri,kuna siku waliandika kichwa cha habari kikubwa OSAMA ASHIKWA,nikanunua kusoma ndani kumbe osama kashikwa mkono na msaidiz wake alikuwa anamsalimia naye alikuwa wanted kipind icho marekan wameivaa afghanstan kumsaka,
Mwanamuziki machachari ambaye aliuza nyago sana kwenye kipindi cha daladala(kipindi cha daniel kijo na bi kiroboto) na pia anauza nyago kwenye Mini-Buzz Toa Hoojaa,Ameachia wimbo wake unaitwa VVU,moja ya mistari akisema "niite nashy mc msanii mwenye VVU,yani Vina Vikali Usipime!
Duh! wewe kiboko, nilivyofungua hii thread kwa fujo, nilichokutana nacho sasa lol!
Kwani umekutana na kitu tofauti? Nadhani heading na contents vinaendana,maana Nashy MC ni msanii pekee mwenye VVU.
unajua kirefu cha THT ni Tanzania Hiphop Tunauza hiyo kwenye nyimbo ya vita
osters nash juma na mistari karibu kilingeni msasani club kila jumamosi kuanzia saa nane ukakutane na tamaduni music ha ha ha ZIMAAA
Nash Mc - Mzimu wa Shaban robert
1.Mzimu wa Shaban Robert
2.Temeke
3.Tunaizindua mitaa
4.Maalim
5.Mapendo
6.Mbinu za Lugha
7.Uzoefu
8.Homa imenizidia
9.Mchawi ndugu
10.Mkongwe
11.VVU
12.Umande
13.Vita
14.Wanajaribu game
15.Kwako Nacn mc
16.Majinuni nash
17.Mkali kwenye game
18.Mitihani
darhotwire