Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwanaume sio mwanamkeJina lake ni gumu sana..
Anaitwa Oliver Mtudkuzi
Anyway. Rest in peace mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tazama vizuri picha yake imewekwa humu
Tazama vizuri picha yake imewekwa humu
Kwa jina lake ni rahisi kukariri kuwa ni mwanamkeNlizoea kukariri jina oliver ni la kike..
Siku zote nkawa najua ni mwanamje na sijawahi ona picha yake zaidi ya jina
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote nkawa najua ni mwanamje na sijawahi ona picha yake zaidi ya jina
Enzi hizo nchi nzima kuna movie sita tu komandoo kipensi,anord shoziniga,Van Dame ,Bluce lee na Ile ya Bush man ukibaatish sana Chaki Noris nimeandika hivi coz ndio lugha tulizokua tunatumiaNakumbuka filamu ya Neria, na ule wimbo wake Neria.
HapanaHivi Oliver Ngoma ni Mkongo??
Napenda wimbo wake wa Lusa.
Unazungumzia Kifo hasa hasa ukimwi
Wimbo niupendao huu,
Mwenye tafasiri ya huu wimbo atupe dondoo